Kama Okwa anaondoka dirisha dogo, viongozi wa Simba fanyeni hivi kitu kiive vizuri

Kama Okwa anaondoka dirisha dogo, viongozi wa Simba fanyeni hivi kitu kiive vizuri

Umezungumza kijinga sana sipendi watu wapumbavu kama wewe.
Unamuhukumuje Chama?
Au ni mmoja wa wale mliojaa mavi kwenye chupi?!
Ni mchezaji mbovu,hana kasi bora ya Kibu
 
kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union.

Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete beki linalopiga miguu yote linaloweza kucheza namba 2 na namba 3.

Mkifanikisha hayo kaeni kwa kurelaxxx kabisa hata msimu ujao msipofanya usajili ni sawa tu, labda mtachukua mchezaji wa ndani mmoja na kupandisha wa under 20.
Mlete manzoki mna ela?
 
Uyo ni utopolo usimuamini sana nyuzi zake nyingi ni za uongo
topolo vipi hamna nyepesinyepesi leo? nasikia inonga jana kavua jezi anataka amaliziwe pesa yake ya usajili hawajammalizia mwaka sasa, dah sisi simba inabidi kuiga utawala wa Hersi
 
Outtra mbovu
Okwa mbovu
Mzungu mbovu
Kanuote mbovu
Chama mbovu
kiufupi timu yetu imejaa wachezaji wenye viwango vya kawaida sana ukifananisha na Yanga Sc.
Mimba changa huwa na kawaida ya kuchukia watu bila sababu
 
Back
Top Bottom