njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
unaamnisha manzoki analipwa milions 500? kwa mwezi? unamaanisha kiasi cha usd 200,000 walicholipwa vipers?mkuu umedata au lishe kamili hujapata leo?Manzoki yuko China analipwa mil mia 5 kwa mwezi mlishindwa kutoa 450 ili kuvunja mkataba wake,wachezaji wanaoweza kusajiliwa ni wa bei chee kwa kuwa muhindi kaisusa timu kahamia kwenye ndondi
barbara mbovu, Mo mbovu, rangi nyeupe nyekundu mbovu...agh we acha tuOuttra mbovu
Okwa mbovu
Mzungu mbovu
Kanuote mbovu
Chama mbovu
kiufupi timu yetu imejaa wachezaji wenye viwango vya kawaida sana ukifananisha na Yanga Sc.
aKibaki okwa , outarra aende tu, ila nafasi za usajili ziwe 3 dirisha dogo baada ya hapo watulize wenge siyo lazima kusajili dirisha kubwa lijalo, kanoute yupo sana broKila nikimtizama okwa namuona midfielder moja nzuri saana wa kuchezesha timu, ile ni namba 8 haswaa, anavyopiga pasi kwa usahihi, anavyopokea mpira na kuachia, uchaguzi wa wapi pa kupasia, anavyoutrack mpira.. Ndio basi tena kila mtu na maono yake..
Toa akpan, toa outtara, toa Kanoute mido gani pass accuracy mbovu.
Ila ana mkataba wa miezi minne tu hadi DecemberManzoki yuko China analipwa mil mia 5 kwa mwezi mlishindwa kutoa 450 ili kuvunja mkataba wake,wachezaji wanaoweza kusajiliwa ni wa bei chee kwa kuwa muhindi kaisusa timu kahamia kwenye ndondi
wamekataa kuliamini hilo wana utopolo, kosa kubwa walilolifanya viongozi wa simba ni kutokuwa serious na manzoki au mshambuliaji wa aina yake, kwa sasa angekuwa kesha team up na phiri vizuri sanaIla ana mkataba wa miezi minne tu hadi December
Anaweza akawepo sababu kocha anajua anamtumia vipi, huenda anamfaa kocha katika plans zake, ila kwangu huwa naona anazingua, ni majuzi kati chini ya zoran alicheza juu ya ukuta alicheza vizuri, siku nyingine ni wa hovyo tu, pasi mkaa kibaoooKibaki okwa , outarra aende tu, ila nafasi za usajili ziwe 3 dirisha dogo baada ya hapo watulize wenge siyo lazima kusajili dirisha kubwa lijalo, kanoute yupo sana bro
Hujui mpira okwa ni kichekesho mtupuKila nikimtizama okwa namuona midfielder moja nzuri saana wa kuchezesha timu, ile ni namba 8 haswaa, anavyopiga pasi kwa usahihi, anavyopokea mpira na kuachia, uchaguzi wa wapi pa kupasia, anavyoutrack mpira.. Ndio basi tena kila mtu na maono yake..
Toa akpan, toa outtara, toa Kanoute mido gani pass accuracy mbovu.
Yupi mwenye advantage ya kua ane kati timu aliyopo sasa na Simba? hio miezi 4 hawawezi ku extend kama ata fanya vizuri?Ila ana mkataba wa miezi minne tu hadi December
strikers wa aina yake wako wengi afrika cha muhimu ni kwamba dirisha dogo aletwe striker anayecheza style ya manzoki ikibidi awe na urefu ule au zaidiYupi mwenye advantage ya kua ane kati timu aliyopo sasa na Simba? hio miezi 4 hawawezi ku extend kama ata fanya vizuri?
Ni kawaida asiyejua kujiona mjuaji... Sasa nikikuuliza ubovu wa okwa utajibu nini,Hujui mpira okwa ni kichekesho mtupu
Hii ndo kauli thabiti. Binafsi naamini January Simba hawatahangaika na Manzoki.strikers wa aina yake wako wengi afrika cha muhimu ni kwamba dirisha dogo aletwe striker anayecheza style ya manzoki ikibidi awe na urefu ule au zaidi
Umemjibu vizuri.tatizo wabongo tuna ujuaji sana wakati hatujui chochote.Ni kawaida asiyejua kujiona mjuaji... Sasa nikikuuliza ubovu wa okwa utajibu nini,
Haya mimi nishasema ubora wake, haya weka nawe hoja zako kisha tuone kwa nafasi yake ni mzuri au kichekesho kama unavyodai.
Umeelewa kauli ya kusema inategemea na mahitaji ya mwalimu.
Mzee mchezaji anaweza kuwa mbovu kwa mourinho akawa nyota kwa ancelloti, aina ya soka analocheza okwa ni jamji ya aboubakar sure boy.
Umezungumza kijinga sana sipendi watu wapumbavu kama wewe.Outtra mbovu
Okwa mbovu
Mzungu mbovu
Kanuote mbovu
Chama mbovu
kiufupi timu yetu imejaa wachezaji wenye viwango vya kawaida sana ukifananisha na Yanga Sc.
Wengi kina nani?strikers wa aina yake wako wengi afrika cha muhimu ni kwamba dirisha dogo aletwe striker anayecheza style ya manzoki ikibidi awe na urefu ule au zaidi
Kwenye maisha yako neno chama usitaje wala kuandika tena kubafOuttra mbovu
Okwa mbovu
Mzungu mbovu
Kanuote mbovu
Chama mbovu
kiufupi timu yetu imejaa wachezaji wenye viwango vya kawaida sana ukifananisha na Yanga Sc.