johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa...... We MACHAGA tulia!Mataga mlivyowajinga hapo mnaona kiswahili ni Mali ya CCM
Kiswahili ni bidhaa bwashee!Itasaidia nini mkuu?
Hilo upo Sawa ila wangapi mnaofahamiana wanaokijua kichina?Lugha haitambuliwi kwa mabavu -kabudi na usomi wake anashindwaje kufahamu hilo.Pata nguvu za kiuchumi kila MTU atahitaji kujua lugha yako.
Ni jambo jema, labda unafahamu uhusiano wake na hiyo tarehe 7 Julai utufahamishe?!Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli sijajua kwanini amependekeza 07 July!Ni jambo jema, labda unafahamu uhusiano wake na hiyo tarehe 7 Julai utufahamishe?!
Saba saba tumuachie nani?Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.
Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Siku ya kuzaliwa TANU, Julai 7 baadaye ikageuzwa siku ya wakulima Tanzania ndio wanataka iwe siku ya Kiswahili duniani.Mataga mlivyowajinga hapo mnaona kiswahili ni Mali ya CCM
Kwa hiyo tutakuwa tunaadhimisha siku ya Kiswahili Duniani? Au tutabaki kusherehekea kwenye maonesho ya Kilele cha Biashara?Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.
Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwani haviwezi kufanyika pamoja?Kwa hiyo tutakuwa tunaadhimisha siku ya Kiswahili Duniani? Au tutabaki kusherehekea kwenye maonesho ya Kilele cha Biashara?
His Excellence alikua anasisitiza matumizi ya kiswahili kwa kutumia huno hunmo na maneno ya kiingeereza, stupidity at its bestYani Mambo ya kijingajinga ndio mnayamudu πͺπ«π«πππ
His Excellence alikua anasisitiza matumizi ya kiswahili kwa kutumia huno hunmo na maneno ya kiingeereza, stupidity at its bestYani Mambo ya kijingajinga ndio mnayamudu πͺπ«π«πππ
Wote wenye interest na maslahi ya biashara, elimu, tiba au sanaa ambao nawajua kama hawakijui basi wanajifunza au hata wanatamani kukijuaHilo upo Sawa ila wangapi mnaofahamiana wanaokijua kichina?