Kama ombi la Profesa Kabudi litakubaliwa huko UNESCO basi tarehe 07 Julai kila mwaka itakuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani

Wakati mitala yenu ya elimu ni kwa kiingereza...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ww ndio zero kabisa kujilinda ni dhamana yako na si serikali
 
Lugha haitambuliwi kwa mabavu -kabudi na usomi wake anashindwaje kufahamu hilo.Pata nguvu za kiuchumi kila MTU atahitaji kujua lugha yako.
Hujui kiswahili pia ni Kati ya unit's za uchumi??? Kikitambuliwa duniani ni fulsa ,watu watawekeza pesa zao kwenye kiswahili na kuzalisha pesa kwenye kiswahi.
 
watu wa jamii yako ni viumbe wa ajabu kweli.frozen mind. Unaitupia mawe nyumba inayokustili daaah.unaonekana wewe sio mtanzania mkuu.
 
Hili nalo litazidi kutufanya tuwe uchumi wa kati au wa juu?
 
litajazia Kama sio kutusogeza uchumi wa juu.kuna watu watawekeza pesa zao kwny kiswahili
Kiswahili ni worthless commodity duniani maana nchi yetu haina uchumi mkubwa wala hatuna cha maana tunacho export labda kama Korea.

Hamna anayehitaji Kiswahili kwa sababu hata hakuna tekinolojia za maana tunazobuni, na kuuza nje, hakuna vitabu tunavyoandika na watu wetu hawajaenee huko duniani

Watu huko duniani wanasoma Kiswahili just for fun kama mimi navyijifunza Kisukuma kwa sasa. Hakuna pa kukitumia
 
They are learning for fun ...yes! bt they're not learning for Free ,the re paying for that learning.lakn pia hata Korea Hawa kuwa pale kwa mazingaombwe ghafla bin vuu.walianza kukifanyia kazi kila kitu walichoona Kita changia kukuza uchumi,ndio maana hata kwenye kutengeneza drama wapo,hawakudharau kazi ya Sanaa,na kujali miradi na nuclear tu NO.
 
Yani Mambo ya kijingajinga ndio mnayamudu [emoji25][emoji31][emoji31][emoji19][emoji19][emoji57]

mafala sana hawa majamaa watu wanakufa kwa korona kaeni kitaalam kiswahili kinasaidia nini kmmmk sana hawa mbuzi
 
Ajui kuw 7 July NI 7,7,7, apange Tarehe nyingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…