A
Anonymous
Guest
Haiwezekani sisi wengine vitu vinakuwa vigumu kufanyika kwetu. Ishu ya mitihani kupotea ni jambo la kawaida sana pale chuoni, ishu ya kusahihishwa mitihani kwa muda mrefu hata miezi miwili japokuwa wanafunzi ni wachache pale ila ni kawaida sana, research kucheleshwa bila ya sababu ya msingi inabdi uzoee tu.
Ila cha ajabu naona watu wengine kama wanasiasa wana maliza kwa muda kabisa, sidoubt uwezo wao ila nashangazwa wamewezaje kufanya hivyo japokuwa pale kuna matatizo kibao kama ucheleshwaji matokeo na researchambayo haiiishi.
Kama mmekifanya OPEN University ni chuo cha watu wa kaliba hilo mtuambie tu kuliko kutupotezea muda, hauwezekani mnachukua ada zetu halafu mnatutreat kama hatuna umuhimu wowote pale chuoni.