Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
wOte ni wauzaji tuNikuweke sawa, Pesa ni lazima ihudumu mahitaji ya familia, mwanamke hali pesa bali anasimamia pesa za familia.
Mwanamke anaye kula pesa si mke ni muuzaji kama wauzaji wengine.
Yeye unamuoa Kwa Ajili ya nini? Kama anataka kula akale kwao au kwake sio ndani mwanguPesa ya mwanamke ni ya kula huku umesimama maana lolote linaweza kukupata...zaid ya hapo ina masimango balaa,huwa hawasahau hata kama alinunua nyama na yeye akala,bado atasema amekulisha
ukitaka kujua sura halisi ya mwanamke pata tatzo halafu ushndwe kuhudumia familia kwa asilima toshelez kama awali,kama hauko vizur kiakil ur dead!!!Yeye unamuoa Kwa Ajili ya nini? Kama anataka kula akale kwao au kwake sio ndani mwangu
Faida ya kuishi nao ni ipi?ukitaka kujua sura halisi ya mwanamke pata tatzo halafu ushndwe kuhudumia familia kwa asilima toshelez kama awali,kama hauko vizur kiakil ur dead!!!
ni matarajio ya weng kwamba mke atakusaidia pale unapokwama kwa wale wenye vipato ila imekua ndivyo sivyo,hata ktka malezi ya watoto napo hawawez siku iz,kwa hyo faida na hasara ni50/50Faida ya kuishi nao ni ipi?
Hakuna faida yeyote ya maana kama ukikwama hana msaada.ni matarajio ya weng kwamba mke atakusaidia pale unapokwama kwa wale wenye vipato ila imekua ndivyo sivyo,hata ktka malezi ya watoto napo hawawez siku iz,kwa hyo faida na hasara ni50/50
Duu Sasa huyo mwanamke anapeleka wapi hiyo fedha anayoitafuta?Huu upuuzi Kila siku naukataa,kama Pesa ya Mwanamke Hainihusu yupo hapo Kwa Ajili ya nini hasa?
Hicho kinachoitwa ndoa ni Cha maana gani ikiwa kinaleta unyonyaji Kwa Mwanamke? Si Bora niwe nahonga na kula mzigo Kwa kununua kuliko huu ujinga unatetewa hapa?
======
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Njombe Wilferdy Willa ameitaka Jamii Mkoani humo hususani Wanaume kutambua kuwa fedha inayotafutwa na Mwanamke aliye kwenye ndoa ni ya kwake binafsi lakini fedha inayotafutwa na Mwanaume ni ya Familia jambo ambalo litasaidia kutatua migogoro ya ndoa.
Willa amesema hayo katika semina kwa Viongozi iliyoratibiwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Njombe ambapo amesema ni vema Wanaume wakatambua majukumu yao katika Familia kama inavyoeleza sheria ya ndoa kwakuwa itasaidia kupunguza migogoro kwenye ndoa.
Willa amesema Wanaume wengi kwenye ndoa hudhani pesa inayotafutwa na Mwanamke ndani ya ndoa ni ya Familia (wote) jambo ambalo sio sahihi kwa mujibu wa sheria ya ndoa badala yake Mwanamke ana wajibu wa kuwajibika kupitia fedha yake endapo tu Baba hayupo, amefariki au hawezi kutekeleza majukumu kwa wakati huo.
"Mwanaume au Mwanamke ukijua majukumu yako kwenye Familia hakutakuwa na kelele, ukisoma sheria ya ndoa inasema Baba atawajibika kuhakikisha Familia yake inakuwa na ustawi na Mwanamke atafanya majukumu ya Baba kama Baba hayupo au hana uwezo wa kutekeleza majukumu kwa wakati huo, kwahiyo fedha inayotafutwa na Mwananke ni ya kwake na inayotafutwa na Mwanaume ni ya Familia"
Wakikupa jibu nitag,Mimi nikipiga marufuku huu ujinga
To yeye Depal Demi Numbisa Evelyn Salt kwanini wanawake wengi kwenye ndoa mnakuwa wabinafsi kwenye hela zenu hata kama mume anatimiza majukumu yake kuhudhumia familia?, maana ya nyie kuwa wasaidizi wetu kama alivoagiza Mungu ni nini haswa?
Sijui,ngoja tuwaulize wanawake wenye hela?To yeye Depal Demi Numbisa Evelyn Salt kwanini wanawake wengi kwenye ndoa mnakuwa wabinafsi kwenye hela zenu hata kama mume anatimiza majukumu yake kuhudhumia familia?, maana ya nyie kuwa wasaidizi wetu kama alivoagiza Mungu ni nini haswa?
Sasa faida ya kuwa na mwanamke ni ipi? Kwanza binafsi naona ni mzigo mkubwa kuwa na mwanamke harafu unaweza kufa mapema Kwa stressAsili mkuu
To yeye umepata muda wa kufikiria ombi langu?? 😂Sijui,ngoja tuwaulize wanawake wenye hela?