Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Nimekimbia...choko... Nipe uhusiano wa kuwa choko na kutokuoa?
#YNWA
Oeni tu ili kuwapa furaha watoto wenu,mtoto anapoishi na wazazi wake wawili huwa ni jambo jema na husaidia katika ustawi wake