Kama pesa ya Mwanamke hainihusu, kampeni ya kataa ndoa ni halali sababu inakuwa utapeli

Kama pesa ya Mwanamke hainihusu, kampeni ya kataa ndoa ni halali sababu inakuwa utapeli

Huu upuuzi Kila siku naukataa,kama Pesa ya Mwanamke Hainihusu yupo hapo Kwa Ajili ya nini hasa?

Hicho kinachoitwa ndoa ni Cha maana gani ikiwa kinaleta unyonyaji Kwa Mwanamke? Si Bora niwe nahonga na kula mzigo Kwa kununua kuliko huu ujinga unatetewa hapa?

======
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Njombe Wilferdy Willa ameitaka Jamii Mkoani humo hususani Wanaume kutambua kuwa fedha inayotafutwa na Mwanamke aliye kwenye ndoa ni ya kwake binafsi lakini fedha inayotafutwa na Mwanaume ni ya Familia jambo ambalo litasaidia kutatua migogoro ya ndoa.

Willa amesema hayo katika semina kwa Viongozi iliyoratibiwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Njombe ambapo amesema ni vema Wanaume wakatambua majukumu yao katika Familia kama inavyoeleza sheria ya ndoa kwakuwa itasaidia kupunguza migogoro kwenye ndoa.

Willa amesema Wanaume wengi kwenye ndoa hudhani pesa inayotafutwa na Mwanamke ndani ya ndoa ni ya Familia (wote) jambo ambalo sio sahihi kwa mujibu wa sheria ya ndoa badala yake Mwanamke ana wajibu wa kuwajibika kupitia fedha yake endapo tu Baba hayupo, amefariki au hawezi kutekeleza majukumu kwa wakati huo.

"Mwanaume au Mwanamke ukijua majukumu yako kwenye Familia hakutakuwa na kelele, ukisoma sheria ya ndoa inasema Baba atawajibika kuhakikisha Familia yake inakuwa na ustawi na Mwanamke atafanya majukumu ya Baba kama Baba hayupo au hana uwezo wa kutekeleza majukumu kwa wakati huo, kwahiyo fedha inayotafutwa na Mwananke ni ya kwake na inayotafutwa na Mwanaume ni ya Familia"
Tutaimba wimbo mmoja.
NDOA NI KWAAJILI YA WANAWAKE NA WANAUME WAJINGA.
NDOA NI UTAPELI
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa sikuizi wamekuaje jamani wanalilia Hela ya mwanamke! Mwanaume ukijua nafasi Yako huwezi kuona shida kuhudumia familia in nature mwanaume ni kiongozi na mtawala ni provider mwanamke ni msaidizi tu anasaidia kucover sehem ndogo ndogo na sio lazima Hela ya mwanamke hupaswi kuipigia mahesabu ndo maana yeye ana kutii kukuheshimu na kukusikiliza kama kiongozi wake na wewe una kazi ya kumuhudumia sasa mi nikutii nikuskilize nikuheshim nikupikie nikufulie Bado Tena mahitaji ya ndani tutoe sawa kwa sawa [emoji849]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona huwashangai wanawake wa siku hizi kulilia nafasi ya mwanaume? (wenyewe wanaita 50/50)

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Mbona huwashangai wanawake wa siku hizi kulilia nafasi ya mwanaume? (wenyewe wanaita 50/50)

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hawana akili mwanamke na mwanaume hawawezi kua sawa hata siku Moja roles zao ni tofauti shida siku hizi wanaume hawakai kwenye nafasi zao Wala wanawake hawakai kwenye nafasi zao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu upuuzi Kila siku naukataa,kama Pesa ya Mwanamke Hainihusu yupo hapo Kwa Ajili ya nini hasa?

Hicho kinachoitwa ndoa ni Cha maana gani ikiwa kinaleta unyonyaji Kwa Mwanamke? Si Bora niwe nahonga na kula mzigo Kwa kununua kuliko huu ujinga unatetewa hapa?
Hiko unachopinga ndio nature yako. Mwanamke ni wakuhudumiwa na mumewe. Mwanamke hajaumbwa kukuhudumia wewe basic needs tofauti na Sex.Ndio maana hata mahari unatoa wewe.kutaka ulelewe na mwanamke ni kuukimbia uanaume wako sasa sjui itakuaje.Inafaa usioe km hauna uwezo wa kumhudumia.kuna tofauti kati ya kudai haki yako na kudai haki isio yako.pato la mwanamke sio haki yako haifai kuida bali akupe kwa huruma yake.
 
Siku zijazo mtaani kutajaa watoto waliolelewa na "single mother" sijui hali itakuwaje
Siku zijazo au wakati huu mbona tayari hicho unachosema kinatokea saa hii muda huu na ndio fasheni ya sasa ya maisha ya wanawake.
 
Hiko unachopinga ndio nature yako. Mwanamke ni wakuhudumiwa na mumewe. Mwanamke hajaumbwa kukuhudumia wewe basic needs tofauti na Sex.Ndio maana hata mahari unatoa wewe.kutaka ulelewe na mwanamke ni kuukimbia uanaume wako sasa sjui itakuaje.Inafaa usioe km hauna uwezo wa kumhudumia.kuna tofauti kati ya kudai haki yako na kudai haki isio yako.pato la mwanamke sio haki yako haifai kuida bali akupe kwa huruma yake.
Hawezi kamwe kutafutia kinachoitwa pato lake kwangu,akitafutia kwangu sio chake ni Cha familia tena Kwa lazima..

Vinginevyo akae palee asubirie kuhudumiwa kinyume chake siko tayari kuishi na mwanamke wa hivyo..

Mimi Huwa siyumbishwi na vimaneno sijui uanaume and such blaaa blaa,wanaoyumbishwa hivyo nawaona most of them wananyanyasika tuu na wake zao pamoja na hizo hizo Mali zao.
 
😂😂😂Pesa ya mwanamke haikuhusu unless otherwise unataka kudharaulika..
 
Hawezi kamwe kutafutia kinachoitwa pato lake kwangu,akitafutia kwangu sio chake ni Cha familia tena Kwa lazima..

Vinginevyo akae palee asubirie kuhudumiwa kinyume chake siko tayari kuishi na mwanamke wa hivyo..

Mimi Huwa siyumbishwi na vimaneno sijui uanaume and such blaaa blaa,wanaoyumbishwa hivyo nawaona most of them wananyanyasika tuu na wake zao pamoja na hizo hizo Mali zao.
Ngoja waje utaitwa ni taliban ..
 
Kipato cha mwanamke kukifanya kua cha familia kwa lazima km unavyodai itakua ngumu maana akikushtaki sidhani km utamshinda.njia nyepesi ya kuziishi principle zako ni kuoa ambae hajishughulishi na chochote(mama wa nyumbani/kuku wa kienyeji) ila sio hawa wa kuvaa mawigi na kubandika kucha ndefu kwenda ofisini utafungwa brazza
 
Wale vijana wa kataa ndoa walikua na hoja sema tukaishia kuwatukana na kuwaita mashoga!!!
 
Ila mi naona kama ukisimama kwenye nafasi yako vizuri pesa ya mwanamke unaila tu vizuri hasa kama kaajiriwa. Ule mshahara wake unautafuna tu. Familia nyingi sana watu wanasaidiana. Kizazaa ni pale wakati huna ikachukua muda mrefu matumizi yakawa yanatoka kwake tu kila siku. Hapo lazima kuna cheche zianze kuruka kuashiria hatari.
 
Huwa naona aibu kutumia Hela ya mwanamke na hata kumwonea huruma.Cha msingi kama anafanya kazi ni kuwa transparent na yeye kumuambia kipato chako chote na yeye pia anaweka kibunda chake chote mezani mnapanga matumizi akishuhudia lakini hapo hapo vibunda VYOTE unavicontrol mwenyewe ikiwemo kumuachia ya kwake ya kufuruhia.

Hawa Wanawake ni kama watoto tu hata wanaohangaika kufanya kazi kurudi jioni nawaonea huruma maana haikupkaswa iwe hivyo walitakiwa wakae kusubiria kuletewa.Sasa napochukua mshahara wake ataona namwonea hata kama hatasema.

Walitakiwa tu kukaa nyumbani kusubiria kuletewa wao wazae na kulea familia.Niamini hata yule mwanamke mwenye kipato kikubwa kuliko mwanaume Bado anatamani angehudumiwa Sana na mume wake kama anayeishi kama mama wa nyumba.Ni asili wanawake waliumbwa kupokea na unapochukua Cha kwake lazima uwe transparent la sivyo ataona unamuonea.

Na hapo hapo ujitahidi umnunulie nguo na vizawadi hata kama ana mshahara ndyo ataona unamjali.
 
Back
Top Bottom