Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 5,276 Reaction score 17,354 Apr 26, 2023 #61 Liverpool VPN said: ...choko... Nipe uhusiano wa kuwa choko na kutokuoa? #YNWA Click to expand... Nimekimbia Oeni tu ili kuwapa furaha watoto wenu,mtoto anapoishi na wazazi wake wawili huwa ni jambo jema na husaidia katika ustawi wake
Liverpool VPN said: ...choko... Nipe uhusiano wa kuwa choko na kutokuoa? #YNWA Click to expand... Nimekimbia Oeni tu ili kuwapa furaha watoto wenu,mtoto anapoishi na wazazi wake wawili huwa ni jambo jema na husaidia katika ustawi wake
muhweza JF-Expert Member Joined Feb 22, 2022 Posts 986 Reaction score 1,394 Apr 26, 2023 #62 Mbekenga said: Siku zijazo mtaani kutajaa watoto waliolelewa na "single mother" sijui hali itakuwaje Click to expand... Kwa Hali hii mi sioi ama nikioa naoa mwanamke wa kukaa nyumbani tu
Mbekenga said: Siku zijazo mtaani kutajaa watoto waliolelewa na "single mother" sijui hali itakuwaje Click to expand... Kwa Hali hii mi sioi ama nikioa naoa mwanamke wa kukaa nyumbani tu