rip faza_nelly JF-Expert Member Joined Feb 19, 2018 Posts 5,749 Reaction score 7,038 Nov 7, 2024 #121 Mtupori_Tz said: Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigo Achana na huyo kuna mwingine anafata mirungi Kenya njiani full rushwa unasema Nini wewe Click to expand... Jamaa yupo sahihi, kama unahisi ni rahisi hivyo Fanya nawewe au mpe ndugu Yako yoyote huo mchongo uone kama atatoboa hata wiki.
Mtupori_Tz said: Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigo Achana na huyo kuna mwingine anafata mirungi Kenya njiani full rushwa unasema Nini wewe Click to expand... Jamaa yupo sahihi, kama unahisi ni rahisi hivyo Fanya nawewe au mpe ndugu Yako yoyote huo mchongo uone kama atatoboa hata wiki.
K Kifulu JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 557 Reaction score 2,064 Nov 7, 2024 Thread starter #122 Lucha said: Kwahiyo wewe na huyo polisi mmeshirikiana kuihujumu serekali ilitakiwa uilipe serekali faini 50k na uende jela miaka mitano, next time usishiriki katika uhalifu huo. Click to expand... Sawa ahsante Sana
Lucha said: Kwahiyo wewe na huyo polisi mmeshirikiana kuihujumu serekali ilitakiwa uilipe serekali faini 50k na uende jela miaka mitano, next time usishiriki katika uhalifu huo. Click to expand... Sawa ahsante Sana