rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Jamaa yupo sahihi, kama unahisi ni rahisi hivyo Fanya nawewe au mpe ndugu Yako yoyote huo mchongo uone kama atatoboa hata wiki.Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigo
Achana na huyo kuna mwingine anafata mirungi Kenya njiani full rushwa unasema Nini wewe