Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Mbona huulizi, kwa nini Rais ndie achague majaji? Inaonekana mhimili wao umekaa kimchongo flani hivi.Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili wa mahakama, yaani Jaji Mkuu.
Ni kwanini mhimili wa mahakama usiwe na utaratibu wake wa kumchagua kiongozi wake mkuu, yaani Jaji Mkuu?
Kwanini nafasi ya jaji mkuu isigombewe na kupigiwa kura na majaji wenyewe?
Ni mtazamo mzuri, na bora wa kutiliwa maanani!Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili wa mahakama, yaani Jaji Mkuu.
Ni kwanini mhimili wa mahakama usiwe na utaratibu wake wa kumchagua kiongozi wake mkuu, yaani Jaji Mkuu?
Kwanini nafasi ya jaji mkuu isigombewe na kupigiwa kura na majaji wenyewe?
Ili kitokee nini?Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili wa mahakama, yaani Jaji Mkuu.
Ni kwanini mhimili wa mahakama usiwe na utaratibu wake wa kumchagua kiongozi wake mkuu, yaani Jaji Mkuu?
Kwanini nafasi ya jaji mkuu isigombewe na kupigiwa kura na majaji wenyewe?
Una hoja! Usikilizwe!Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili wa mahakama, yaani Jaji Mkuu.
Ni kwanini mhimili wa mahakama usiwe na utaratibu wake wa kumchagua kiongozi wake mkuu, yaani Jaji Mkuu?
Kwanini nafasi ya jaji mkuu isigombewe na kupigiwa kura na majaji wenyewe?
Una point kubwaKama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili wa mahakama, yaani Jaji Mkuu.
Ni kwanini mhimili wa mahakama usiwe na utaratibu wake wa kumchagua kiongozi wake mkuu, yaani Jaji Mkuu?
Kwanini nafasi ya jaji mkuu isigombewe na kupigiwa kura na majaji wenyewe?
CrapKatiba la hovyo hili limemrundikia madaraka rais kuteua kila mtu
Mimi binafsi namkubali Mandela kuliko NyerereTanzania madudu yenye mkanganyiko kama huo ni mengi mno, ukiwa unayakumbuka utamchukia Nyerere sana!
Hata Muungano ni WA wananchi,kwanini wananchi hawapigi kura kuukubali au kuukataa?
Una hoja nzuri
Ila nahisi huu utaratibu wa Rais kuchagua Jaji upo katika nchi zote.
Yes, kuna baadhi ya nchi, kabla hajatajwa hadharani, taasisi zote za usalama na kimadili zinapaswa kum-clear then inabaki mjadala kati ya raisi na uongozi wa juu wa Bunge, endapo mmoja wao atapinga na akawa na hoja yenye mashiko, raisi hawezi kulazimisha, anarudi ubaoni kutafuta mwingine.Una hoja nzuri