Halafu wao wenyewe wametulia hawahoji wala hawana wasiwasi.inaonekana kuwa jaji ni zawadi na sio weredi wa taaluma. Tumechelewa sana.mhimili
Kenya wana katiba nzuri majaji huchagua mkuu wao tena baada ya interviewKama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili wa mahakama, yaani Jaji Mkuu.
Ni kwanini mhimili wa mahakama usiwe na utaratibu wake wa kumchagua kiongozi wake mkuu, yaani Jaji Mkuu?
Kwanini nafasi ya jaji mkuu isigombewe na kupigiwa kura na majaji wenyewe?
Kifungu gani cha katiba ama sheria inayosema Rais ana mamlaka ya kumteua Jaji Mkuu na akishamteua hakuna mamlaka nyingine inayoweza kuhoji?Umemsikia juzi Rais Samia alivyozungumza kuhusu kutokutaka kumuongezea muda jaji mkuu wa sasa baada ya jaji wa sasa kufikia umri wa kustaafu?
Unakumbuka Kikwete alivyomuongezea muda Jaji Othman Chande baada ya kustaafu?
Wewe fahamu tu, jaji mkuu anateuliwa na Rais, na akiteuliwa na Rais hakuna mamlaka nyingine yoyote inaweza kuhoji, kupinga au kutengua.
Hoja yako ni ya msingi.Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili wa mahakama, yaani Jaji Mkuu.
Ni kwanini mhimili wa mahakama usiwe na utaratibu wake wa kumchagua kiongozi wake mkuu, yaani Jaji Mkuu?
Kwanini nafasi ya jaji mkuu isigombewe na kupigiwa kura na majaji wenyewe?
Asisahau hicho alichokiita 'kakijitabu' ndicho kilimfanya awe pale alipo.Huyu mama alisema katiba ni kakijitabu tu
Alipaswa afukuzwe palepale kwa kudharau katiba ya nchiAsisahau hicho alichokiita 'kakijitabu' ndicho kilimfanya awe pale alipo.
Kama wengine wangekadharau hako 'kakijitabu' anakokaita basi leo asingekuwa pale alipo.
Anachaguliwa na polisiRaisi wa Tanzania hachaguliwi na Wananchi anajichagua.
mgawanyo wa madaraka na uwajibikajiIli kitokee nini?
🙄🙄mgawanyo wa madaraka na uwajibikaji