Kama rais "anapeleka" fedha nchi nzima, Serikali itapeleka lini na kwanini Rais na siyo Serikali?

Kama rais "anapeleka" fedha nchi nzima, Serikali itapeleka lini na kwanini Rais na siyo Serikali?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

1750291023225.png

​

Nimemsikia naibu waziri ofisi ya Rais Serikali za mitaa Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali.

Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi?

Je, rais anapata wapi utajiri huu? Je ni kweli kuwa hiyo pesa ni yake au ni upotoshaji, uchawa, na kujikomba tu? Je, kwanini rais––––kama kweli–––hapendi na kuridhika na sifa hizi za uongo, inakuwaje hawazuii wasaidizi wake kutumia lugha sahihi na kueleza ukweli.
 
Ndugu yangu suala la Mpina ndio limetoa picha yote, SIFIA ULE ,SEMA UKWELI UKOSE.
 
Yule mbunge wa Zanzibar alituita kenge, moja ya masikini ya kenge ni kupandishwa kwenye ma lorry kwenda kumsiliza mtawala pamoja na kulipa kodi ili mtawala apate sifa.
 

View attachment 3375499

Nimemsikia naibu waziri ofisi ya rais serikali za mitaa Dk Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali. Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi? Je rais anapata wapi utajiri huu? Je ni kweli kuwa hiyo pesa ni yake au ni upotoshaji, uchawa, na kujikomba tu? Je kwanini rais––––kama kweli–––hapendi na kuridhika na sifa hizi za uongo, inakuwaje hawazuii wasaidizi wake kutumia lugha sahihi na kueleza ukweli.​

We umechanganyikiwa, tuliza akili au ukapate matibabu
 
Hizo ni Hela zetu kupitia Kodi tunazolipa lakini Kwa kuwa awamu hii naongozwa na wajinga ndiyo maana wanasema Hela za samia
 
Back
Top Bottom