The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
We umechanganyikiwa, tuliza akili au ukapate matibabuView attachment 3375499
Nimemsikia naibu waziri ofisi ya rais serikali za mitaa Dk Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali. Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi? Je rais anapata wapi utajiri huu? Je ni kweli kuwa hiyo pesa ni yake au ni upotoshaji, uchawa, na kujikomba tu? Je kwanini rais––––kama kweli–––hapendi na kuridhika na sifa hizi za uongo, inakuwaje hawazuii wasaidizi wake kutumia lugha sahihi na kueleza ukweli.
Heri waliiochanganyikiwa kuliko waliozwazika kama weweWe umechanganyikiwa, tuliza akili au ukapate matibabu