GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.
Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.
Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.
Msitupotezee muda msameheni tu.