johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ulikuwepo jikoni?Data za kupika
Umetumia kipimo gani?Data zisizoendana na ongezeko la fedha mifukoni mwa wadanganyika
Deni la taifa ni 27% ya pato la taifa.Ulikopata hizo taarifa bila shaka kuna na za ukuaji wa deni la taifa. Naziomba tafadhali. Kama zipo na ukuaji au uporomokaji wa pato la mtu mmoja mmoja naziomba tafadhali.
Umenena vyema Mkuuu hahahahahaaKiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele.
Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena.
Tundu Lisu atapewa kazi pale ofisi ya Mwanasheria mkuu.
Maendeleo hayana vyama!
Kikwete aliliacha tsh ngapi? Na sasa ni tsh ngapi tujue kama tunapiga hatua mbele au tunarudi nyuma?Deni la taifa ni 27% ya pato la taifa.
Deni ni himilivu sana kwa sababu ukomo wa kukopa ni 70% ya pato la taifa!
Umeshapanic!
Atakuwa AG halafu anarudi bungeni kuwanyoosha pinga pinga!Ccm mmekaa kihongo hongo tu mmeshataka kumpa hongo Tundu Lisu kwa ahadi ya uteuzi.
Tupo uchumi Wa kati Tuliaaa dawa ikuingie Kwani uliwahi hata mpigia kura kikwete wewe mpka utuulize maswaliKikwete aliliacha tsh ngapi? Na sasa ni tsh ngapi tujue kama tunapiga hatua mbele au tunarudi nyuma?
Wewe hutaki?Hahahahaha eti mfugaji majizi makubwa ndani ya ccm kaongeza pato la Taifa πππ
Ama kweli WAPUMBAVU ni mtaji mkubwa sana wa maccm Tanzania.
Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?
Hahahaaaa..... Za kutoka Machame!Takwimu zipi wewe jinga? Hizi za kutoka chato?
Kweli mahaba sio kitu kizuri. Siamini kama hata unajua nini maana ya uchumi wa kati? Implication yake ni nini kwa maisha ya mtu mmoja mmoja?Tupo uchumi Wa kati Tuliaaa dawa ikuingie Kwani uliwahi hata mpigia kura kikwete wewe mpka utuulize maswali