Kama Rais ni mtetezi wa wanyonge na mtumbuaji majipu maarufu, kwanini hajamtumbua Said Lugumi?

Kama Rais ni mtetezi wa wanyonge na mtumbuaji majipu maarufu, kwanini hajamtumbua Said Lugumi?

Mtu ambaye hajafikishwa mahakamani kwa mujibu wa falsafa yetu mpya si fisadi.
 
images
malaika on the move..........
Wanaruka na kukanyagana wanasoma namba kinyama!!!
 
Kumbe hii nchi ina matabula laza wengi hivi?wengine uwaita ignoransia class kwa lugh ili ile,hata ukiwaita Lumpen proletariat kwa lugha ya marxism unakuwa hujakosea sana,nashangazwa na mtu anayeshangilia TOTARITARIANISM
Matabula laza, ignoransia class, kwa lugh, lumpen proletariat, totalitarianism..!!???
Acha mbwembwe wewe kama ulikuwa unataka tukuelewe ungeanza na darasa kwanza. Kuandika vitu ambavo watu zaidi ya 80% hawavielewi no ulimbukeni na ujuvi. Msomi wa ukweli huelezea kiufasaha mambo anayoyajua kabla ya kujenga hoja. Kinachoonekana wewe ulikariri hata kufafanua huwezi
 
Kama ni msomaji magazeti yaliyomo kwenye hiyo hotuba ni mambo ya magazetini hamna jipya hata moja.NAKUAPIA.Alichofanya ni kukusanya habari za magazetini na kuziandikia hotuba!!! AIbu kuiita ile eti ni hotuba ya upinzani bungeni ni aibu.

Kama aibu kwanini mmkatalie kuisoma??Kwani watu habari wanazipata wapi??Pole ndiyo amewashika pabaya kweli kweli.Mambo mengi yaliyoandikwa ndiyo tuliyonayo leo,tunashindwa kuyasemea sababu tunaogopana.Hivi ni nani siyejua Mawazo kauawa sababu ya itikadi yake??Waliomuua wako nje wakifurahia maisha serikali imechukua jukumu gani kwenye hilo??AU ukiwa UPINZANI ni Paka ukiwa CCM ni Binadamu??Haya na yule Diwani wa Kagera.Hawa wote wanawatoto miaka 20 ijayo mtawasoma tu.Hawatakubali mpaka haki za wapendwa wao zitimie.Mnatengeneza TAIFA linalojenga chuki miongoni mwetu,unadhani watoto wa hawa waliouawa wataipenda CCM na Magufuli???Chukua hatua siyo kila kitu wasemacho wapinzani ni kiovu.

Week iliyokwisha mmemtusi Lissu siku mbili baadaye aliyosema Lissu akayasema Makamu wa Rais mkampigia makofi,kweli ukiwa CCM lazima uwe na PhD ya .............................
 
CCM ndiyo chama dume,na Magufuri ndiye rais wa Tanzania.Ndugai ni mbunge wa Kongwa na ni mwana CCM na ndiye spika wa Bunge la Tanzania a.k.a bosi wa Mbowe,Lema,Lissu na Miungu wako wote waliopo Bungeni unaowafahamu ww.Km hutaki,fanya hayo yanaweza kukusaidia-ama jinyonge,hama nchi,jitupe bahari na mengine mengi fanani na hayo.Na yakupasa utambuye,CCM ndiyo chama TAWALA hadi mwisho wa kinyongo chako.

Naona ukweli umekuuma kweli kweli pole
 
Ngoja wapitie hapa nadhani wataitupia kama hiyo kamati ita-edit

Nimeisoma wamewapa kweli sana acha waikatae,lakini nina uhakika Magufuli ameisoma na Makamu wa Rais,pamoja na wabunge wao wa CCM na wanaujua ukweli.
 
Wote hapo kina Nchimbi, Lugumi, Mwema, Mangu anaeficha ushahidi, Kitwanga na lundo la wengine wana tuhuma za kujibu na wangehukumiwa Easy kwenye mahakama ya Mwananchi au mahakama yetu hapa jamii forum /Facebook/ Twitter nk.
Lakini wakienda kwenye Mahakama zetu za kidemocrasia, kikatiba au simple kwa sheria hizi zilizopitishwa na Wanasiasa mnaowasikilizamnaowasikiliza Serikali itashindwa vibaya kabisa.
Kwahiyo ni lazima kuwa na Pozi, kujipanga, na hata malidhiano before kufanya maamuzi ya kupelekana mahakamani.
Muombeeni Raise wenu, Viongozi wenu, Watanzania wenzenu na Bunge lenu, mrudishe ule moto wa kizalendo kuhakikisha nchi inasonga mbele badala ya kufanikisha dreams za MTU moja kusonga mbele.
Allah bless na mzidishie hekima Rais wetu Magufuli
 
Suala LA mfumo wa vidole so kiki tena kwa upinzani hapo hollaa.....maana kila kituo kina hizo mashineeeee

Ccm oyeeeeeeeee

lugumi amekuwa kikwazo ktk maendeleo... ilipaswa polisi watumie mfumo wa alama za vidole nchi nzima...

aibu na inasikitisha rais kukaa kmyaa ktk hili jambo... inaonyesha na yeye ameridhika na huo ubabaishaji...
 
Wote hapo kina Nchimbi, Lugumi, Mwema, Mangu anaeficha ushahidi, Kitwanga na lundo la wengine wana tuhuma za kujibu na wangehukumiwa Easy kwenye mahakama ya Mwananchi au mahakama yetu hapa jamii forum /Facebook/ Twitter nk.
Lakini wakienda kwenye Mahakama zetu za kidemocrasia, kikatiba au simple kwa sheria hizi zilizopitishwa na Wanasiasa mnaowasikilizamnaowasikiliza Serikali itashindwa vibaya kabisa.
Kwahiyo ni lazima kuwa na Pozi, kujipanga, na hata malidhiano before kufanya maamuzi ya kupelekana mahakamani.
Muombeeni Raise wenu, Viongozi wenu, Watanzania wenzenu na Bunge lenu, mrudishe ule moto wa kizalendo kuhakikisha nchi inasonga mbele badala ya kufanikisha dreams za MTU moja kusonga mbele.
Allah bless na mzidishie hekima Rais wetu Magufuli
Post ina akili sana hii
 
Hebu sasa mtueleze with all due respect, Lowassa (mara tatu sasa) na Sumaye wamekutana na kukaa Mezani na "Mtu mnaesema anawanyanyasa" Tena Sumaye akisema yupo upinzani kwa faida ya CCM, Lowassa akimwaga sifa kwa "MTESI" wenu, wamechukuliwa hatua gani hawa watu?
 
Back
Top Bottom