Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu;
"Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la kudumu kokomesha utekaji na uuaji, ieleweke wazi kwa raia na wakazi wote hapa Tanzania kwamba kuanzia sasa hakuna chombo chochote cha usalama nchini, zaidi ya Jeshi la Polisi, ambacho kina mamlaka ya kukamata watu (kufanya arrest). Na ukamataji wowote utakaofanywa na Polisi, ni lazima ufanyike askari wa polisi wakiwa na uniform zao na vitambulisho, na wakitumia magari yenye utambulisho wa alama za polisi na pamoja na registration number.
Na ni jukumu la vyombo vingine vyote vya usalama, kutia ndani Usalama wa Taifa TISS, Takukuru na vyombo vingine, kama wana sababu za kumkamata au kufanya arrest ya mtu yeyote ndani ya Tanzania, watafanya hivyo kwa kupitia na kuwatumia Jeshi la Polisi, na Polisi watamkamata huyo mtu kwa utaratibu niliousema hapo juu.
Hivyo basi, na iwe wazi kwa raia wote wa Tanzania kwamba ukamataji wowote wa mtu ndani ya Tanzania, awe raia au mgeni, ukifanyika nje ya utaratibu huu, huo si ukamataji halali, na Jeshi la Polisi na raia wote kwa ujumla wanakuwa na wajibu wa kuzuia ukamataji huo usifanyike, kutia ndani kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi"
Sasa, kama ni kweli Raisi Samia ana nia na yeye binafsi au serikali yake haihusiki, au chama chake CCM hakinufaiki na utekaji huu na mauaji yanayofanyika, hili tamko litakomesha huu utekaji mara moja. Swali ni kwamba, je huu utekaji hauna baraka za serikali, au chama cha CCM? Kama una hizo baraka, basi tusitarajie kama Raisi Samia atatoa tamko hili, kwa sababu atakuwa anajua kinachoendelea na menginne yote anayosema kuhusu utekaji yanakuwa ni maigizo tu.
Unacho fanya ni sawa na kumfuata muaji na kumwomba atusaidie kumtafta muwaji ambaye ni yeye mwenyeweInahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu;
"Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la kudumu kokomesha utekaji na uuaji, ieleweke wazi kwa raia na wakazi wote hapa Tanzania kwamba kuanzia sasa hakuna chombo chochote cha usalama nchini, zaidi ya Jeshi la Polisi, ambacho kina mamlaka ya kukamata watu (kufanya arrest). Na ukamataji wowote utakaofanywa na Polisi, ni lazima ufanyike askari wa polisi wakiwa na uniform zao na vitambulisho, na wakitumia magari yenye utambulisho wa alama za polisi na pamoja na registration number.
Na ni jukumu la vyombo vingine vyote vya usalama, kutia ndani Usalama wa Taifa TISS, Takukuru na vyombo vingine, kama wana sababu za kumkamata au kufanya arrest ya mtu yeyote ndani ya Tanzania, watafanya hivyo kwa kupitia na kuwatumia Jeshi la Polisi, na Polisi watamkamata huyo mtu kwa utaratibu niliousema hapo juu.
Hivyo basi, na iwe wazi kwa raia wote wa Tanzania kwamba ukamataji wowote wa mtu ndani ya Tanzania, awe raia au mgeni, ukifanyika nje ya utaratibu huu, huo si ukamataji halali, na Jeshi la Polisi na raia wote kwa ujumla wanakuwa na wajibu wa kuzuia ukamataji huo usifanyike, kutia ndani kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi"
Sasa, kama ni kweli Raisi Samia ana nia na yeye binafsi au serikali yake haihusiki, au chama chake CCM hakinufaiki na utekaji huu na mauaji yanayofanyika, hili tamko litakomesha huu utekaji mara moja. Swali ni kwamba, je huu utekaji hauna baraka za serikali, au chama cha CCM? Kama una hizo baraka, basi tusitarajie kama Raisi Samia atatoa tamko hili, kwa sababu atakuwa anajua kinachoendelea na menginne yote anayosema kuhusu utekaji yanakuwa ni maigizo tu.
Hatari kweli kweli ...Kwa hiyo kuna uwezekano haya yote yanafanywa na TISS? Kama ni wao, hivi hao TISS ni raia wa Tanzania kweli?
Ila ninachokumbuka, wakati wa Raisi Mwinyi, ilisemekana TISS walimchinja kama kuku mwanafunzi mmoja wa uhandisi pale Chuo Kikuu, Hall 2. Sasa ilileta mtafaruku kwa sababu ndani ya TISS walianza kulaumiana, ikawa watu wa TISS wa Nyerere, ambao walionekana ni watu wa kutoka Tanzania bara, wakawa wanasema waliofanya kitendo kile ni watu wa TISS walioletwa na Mwinyi, hasa kutoka Zanzibar. Watu wa TISS-Mwinyi wakawa wanasema watu wa TISS-Nyerere ndio walikuwa wanashirikiana na Mzee Punch na kutoa siri za Ikulu. Ikawa wazi kuna mtafaruku kati ya TISS iliyoonekana ni ya Nyerere, na TISS iliyoonekana ni ya Mwinyi. Hali ilipofikia hapa ilibidi UDSM ifungwe mwaka mzima. Wengi hawakujua sababu halisi za kukifunga chuo. Muulize James Mbatia anaweza kukusimulia!
Labda sasa pia kumeanza kuwa na mtafaruku wa namna hii ndani ya TISS - kumezuka TISS ya mama!
Hana nia hiyo na hajawahi kuwa nayoInahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu;
"Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la kudumu kokomesha utekaji na uuaji, ieleweke wazi kwa raia na wakazi wote hapa Tanzania kwamba kuanzia sasa hakuna chombo chochote cha usalama nchini, zaidi ya Jeshi la Polisi, ambacho kina mamlaka ya kukamata watu (kufanya arrest). Na ukamataji wowote utakaofanywa na Polisi, ni lazima ufanyike askari wa polisi wakiwa na uniform zao na vitambulisho, na wakitumia magari yenye utambulisho wa alama za polisi na pamoja na registration number.
Na ni jukumu la vyombo vingine vyote vya usalama, kutia ndani Usalama wa Taifa TISS, Takukuru na vyombo vingine, kama wana sababu za kumkamata au kufanya arrest ya mtu yeyote ndani ya Tanzania, watafanya hivyo kwa kupitia na kuwatumia Jeshi la Polisi, na Polisi watamkamata huyo mtu kwa utaratibu niliousema hapo juu.
Hivyo basi, na iwe wazi kwa raia wote wa Tanzania kwamba ukamataji wowote wa mtu ndani ya Tanzania, awe raia au mgeni, ukifanyika nje ya utaratibu huu, huo si ukamataji halali, na Jeshi la Polisi na raia wote kwa ujumla wanakuwa na wajibu wa kuzuia ukamataji huo usifanyike, kutia ndani kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi"
Sasa, kama ni kweli Raisi Samia ana nia na yeye binafsi au serikali yake haihusiki, au chama chake CCM hakinufaiki na utekaji huu na mauaji yanayofanyika, hili tamko litakomesha huu utekaji mara moja. Swali ni kwamba, je huu utekaji hauna baraka za serikali, au chama cha CCM? Kama una hizo baraka, basi tusitarajie kama Raisi Samia atatoa tamko hili, kwa sababu atakuwa anajua kinachoendelea na menginne yote anayosema kuhusu utekaji yanakuwa ni maigizo tu.
SwadaktaUnacho fanya ni sawa na kumfuata muaji na kumwomba atusaidie kumtafta muwaji ambaye ni yeye mwenyewe
Basi anahusika! Na nina hofu kwamba kama unyama huu kama unafanywa na watu walio vyombo vya usalama, ni wale ambao tayari wana chuki na watu wa bara, na tunajua hao ni nani.Hana nia hiyo na hajawahi kuwa nayo
Hapana, hawa ni wapyaHivi wasiojulikana wa wakati wa magufuli inawezekana bado wanafanya ile kazi ya wakati ule ya kuteka watu?
Hatari sana. Hivi unawezaje kujiita kiongozi wa watu ikiwa ili uwaongoze hao watu unaona lazima uwaue?Hathubutu kusema hivyo sababu kuendelea kuwepo kwake madarakani kunategemea moja kwa moja hao wahalifu.
Inahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu;
"Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la kudumu kokomesha utekaji na uuaji, ieleweke wazi kwa raia na wakazi wote hapa Tanzania kwamba kuanzia sasa hakuna chombo chochote cha usalama nchini, zaidi ya Jeshi la Polisi, ambacho kina mamlaka ya kukamata watu (kufanya arrest). Na ukamataji wowote utakaofanywa na Polisi, ni lazima ufanyike askari wa polisi wakiwa na uniform zao na vitambulisho, na wakitumia magari yenye utambulisho wa alama za polisi na pamoja na registration number.
Na ni jukumu la vyombo vingine vyote vya usalama, kutia ndani Usalama wa Taifa TISS na Takukuru, kama wana sababu za kumkamata au kufanya arrest ya mtu yeyote ndani ya Tanzania, watafanya hivyo kwa kupitia na kuwatumia Jeshi la Polisi, na Polisi watamkamata huyo mtu kwa utaratibu niliousema hapo juu.
Hivyo basi, na iwe wazi kwa raia wote wa Tanzania kwamba ukamataji wowote wa mtu ndani ya Tanzania, awe raia au mgeni, ukifanyika nje ya utaratibu huu, huo si ukamataji halali, na Jeshi la Polisi na raia wote kwa ujumla wanakuwa na wajibu wa kuzuia ukamataji huo usifanyike, kutia ndani kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi"
Sasa, kama ni kweli Raisi Samia ana nia na yeye binafsi au serikali yake haihusiki, au chama chake CCM hakinufaiki na utekaji huu na mauaji yanayofanyika, hili tamko litakomesha huu utekaji mara moja. Swali ni kwamba, je huu utekaji hauna baraka za serikali, au chama cha CCM? Kama una hizo baraka, basi tusitarajie kama Raisi Samia atatoa tamko hili, kwa sababu atakuwa anajua kinachoendelea na menginne yote anayosema kuhusu utekaji yanakuwa ni maigizo tu.
Tamko la Rais lina nguvu kuliko unavyodhani.Kwa kuwa Mh.Rais Samia amesema kitu na umeanza kusikia matamko mengine ya kujilazimisha,basi wewe kama Mwananchi muombe sana Mungu ili pasitokee jambo lingine la kijinga litakalowaondoa wa Tanzania katika hoja ya msingi..yaani hoja ya mauaji chini ya kivuli cha Sheria ya Usalama wa Taifa.Inachukua muda mrefu sana kufuta sheria. Hadi ifutwe tunaweza kupoteza watu wengine
Utekaji na utesaji na Kuwaua waalifu bila kuwapeleka wahusika mahakamani ni mifumo ya falier state, nchi kama nchi imeshindwa kutengeneza mifumo bora ya maisha ya watu wake kwahiyo wanadhani utaweza kuwamaliza watu wanaokwenda kinhume na sheria, kinyume chamifump ya watawala, kinyums nawanavyotaka wao nchi iendde.. kwa mfano wimbi la panya Road solution ilikuwa siyo kuwauwa, wimbi la panya Road linatokana na umaskini, kwani utaona vijana wengi waliokamatwa kwenye operation ya Panya Road wanatoka mitaa ya Tandika, Mbagala, Chanika, vingunguti, Gongo la mboto, kwampalange, yale maeneo ambayo umaskini umetamalaki, Sasa serikali makini isingetumia POLISI peke yake kumaliza tatizo hilo. Ingeangalia ni jinsi gani wangeweza kupunguza wimbi la vijana wasiyo na kazi maeneo hayo, Wangepeleka vyuo vya VETA maeneo hayo na kwakuwa asilimia kubwa ni watoto wa maskini, wangetengeza mazingira wasome bure na chakula cha mchana na baada ya mafunzo wanawapeleka katika kazi za kujitolea sehemu mbali mbali ili kuwajengea uwezo wa fani walizo nazo baada ya hapo wanawaacha, wangeza kupunguza panya Road kwa asilimia 80.Ila viongozi wetu siyo wabunifu wanawekeza fedha nyingi kwenye magari ya washa washa na magari ya Anasa huku wananchi wakiishi katika umaskini wakupitiliza.Inahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu;
"Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la kudumu kokomesha utekaji na uuaji, ieleweke wazi kwa raia na wakazi wote hapa Tanzania kwamba kuanzia sasa hakuna chombo chochote cha usalama nchini, zaidi ya Jeshi la Polisi, ambacho kina mamlaka ya kukamata watu (kufanya arrest). Na ukamataji wowote utakaofanywa na Polisi, ni lazima ufanyike askari wa polisi wakiwa na uniform zao na vitambulisho, na wakitumia magari yenye utambulisho wa alama za polisi na pamoja na registration number.
Na ni jukumu la vyombo vingine vyote vya usalama, kutia ndani Usalama wa Taifa TISS na Takukuru, kama wana sababu za kumkamata au kufanya arrest ya mtu yeyote ndani ya Tanzania, watafanya hivyo kwa kupitia na kuwatumia Jeshi la Polisi, na Polisi watamkamata huyo mtu kwa utaratibu niliousema hapo juu.
Hivyo basi, na iwe wazi kwa raia wote wa Tanzania kwamba ukamataji wowote wa mtu ndani ya Tanzania, awe raia au mgeni, ukifanyika nje ya utaratibu huu, huo si ukamataji halali, na Jeshi la Polisi na raia wote kwa ujumla wanakuwa na wajibu wa kuzuia ukamataji huo usifanyike, kutia ndani kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi"
Sasa, kama ni kweli Raisi Samia ana nia na yeye binafsi au serikali yake haihusiki, au chama chake CCM hakinufaiki na utekaji huu na mauaji yanayofanyika, hili tamko litakomesha huu utekaji mara moja. Swali ni kwamba, je huu utekaji hauna baraka za serikali, au chama cha CCM? Kama una hizo baraka, basi tusitarajie kama Raisi Samia atatoa tamko hili, kwa sababu atakuwa anajua kinachoendelea na menginne yote anayosema kuhusu utekaji yanakuwa ni maigizo tu.
FactHawezi kwa sababu ana uhusika kwenye hili.
- kuiweka TISS chini yake
- Kuwapa mamlaka ya kisheria ya kuarest
- Kuwapa kinga ya kisheria endapo wataua
- Alishasema utekaji ni drama kwa wanaotekwa
- Alishasema yeye ni chura kiziwi. Imekuwaje akasikia uchungu wa haya mauaji?
Nchi huwa inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria, Kanuni na taratibu.Tamko la Rais lina nguvu kuliko unavyodhani.Kwa kuwa Mh.Rais Samia amesema kitu na umeanza kusikia matamko mengine ya kujilazimisha,basi wewe kama Mwananchi muombe sana Mungu ili pasitokee jambo lingine la kijinga litakalowaondoa wa Tanzania katika hoja ya msingi..yaani hoja ya mauaji chini ya kivuli cha Sheria ya Usalama wa Taifa.
MUNGU HALALI KAMA BINADAMU..MATOKEO YA HUU UTEKAJI NA MAUAJI NDIO MLANGO WA KUIPONYA NCHI DHIDI YA MADHILA YA KUPANGWA!