DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hilo ndilo hitaji ambalo hatuwezi kulipata toka kwa wanasiasa. Tunataka katiba ya wanachi kwa ajili ya wananchi; si hizi za kina Warioba.Sio katiba mpya tu. Inachotakiwa ni katiba ilio beba mawazo halisi ya wananchi.
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Na Kuna uwezekano mkubwa wa Hilo kufanyika, nadhani JK aliyejaribu ku push wakati ule na kutishwa ,this time around anataka ku push kwa mgongo wa Samia ambae kimisimamo wanaendana..Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana.
Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja.
Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
Litapatikana maana Rais alishasema katiba sio ya Vyama vya Siasa Bali Wananchi.Hilo ndilo hitaji ambalo hatuwezi kulipata toka kwa wanasiasa. Tunataka katiba ya wanachi kwa ajili ya wananchi; si hizi za kina Warioba.
Tusijidanganye, uchaguzi ukiwa fair ccm wanaweza kupata wingi kwenye ubunge. Kwenye urais hawawezi kupenya.Na wakifanya hivyo CCM watashinda tuu uchaguzi japo kwa margin ndogo Sana.
Tusijidanganye, uchaguzi ukiwa fair ccm wanaweza kupata wingi kwenye ubunge. Kwenye urais hawawezi kupenya.
Chama kimechokwa, na bahati mbaya sana wapiga kura hawaangalii tukiitoa ccm huyu anayeingia atakuwa na hali gani.
Wenyewe wanadanganyana eti anaupiga mwingi 😆😆, watapoambulia 15% ya kura ndipo watatoka usingizini.True Ccm hipo ICU
Nitaamini kuwa aliye vuruga rasimu ya Warioba ni yule aliyewatuma DAB na genge lake Ubungo PlazzaMama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
Mimi naona afadhali ule mchakato ulivurugika ili tupate katiba bora.Nitaamini kuwa aliye vuruga rasimu ya Warioba ni yule aliyewatuma DAB na genge lake Ubungo Plazza
Kwa hili nimependa mno mno na ninam support 100%Dr. Samia suluhu hassan, anakwenda kuweka legacy ya kipekee, kujenga legacy si kwa njia ya mabavu, ubabe, ushenzi, unyangau, kuijenga legacy ni akili pevu, hekima, busara, mama anaivaa nafasi yake haswaa, mashalaah.
Tusijidanganye, uchaguzi ukiwa fair ccm wanaweza kupata wingi kwenye ubunge. Kwenye urais hawawezi kupenya.
Chama kimechokwa, na bahati mbaya sana wapiga kura hawaangalii tukiitoa ccm huyu anayeingia atakuwa na hali gani.
Sijui think tank yake ni akina nani kwenye hiliHatuwezi kupata katiba nzuri kama itaandikwa na wanasiasa au wengine wowote ambao ni wanufaika wa katiba hiyo.
Kura halali hawawezi pata zaidi ya 30% kwenye urais. Hata huko vijijini walikokuwa na support base kubwa ya kinamama wamechokwa.Hata ubunge wana hali ngumu sana kila kona hakuna walichofanya 2025 wajipange sana watapoteza viti vingi sana.