The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Mimi kama mwanajimbo la kisesa nikiongozwa na Mpina nakubali kwamba Samia tunamdai ana mambo mengi sana hajakamillisha na tuna wasiwasi na uwezo wake kama atayatimiza.
Hawa wanaosema.hawamdai halafu October arudi tena. Nawaona kama wana mtindio wa ubongo kabisa. Mtu aliyemliza yote arudi tena kufanya nini?
Nilishawahi kusema hapa CCM ubongo wao umelala fofo ndo maana hata slogani zao ni za ajabu ajabu hawashirikishi ubongo kufanya mambo kwa weledi kabisa. Kutomdai Samia means hata asìporudi kwenye kiti siyo tatizo..