Kama Rushwa nchini Tanzania isingekuwa kubwa basi tungejua hizi kesi 3 zimeishaje

Kama Rushwa nchini Tanzania isingekuwa kubwa basi tungejua hizi kesi 3 zimeishaje

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1. Wizi wa mafuta kigamboni
2. Mchimba Madini Mtwara
3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri

Hakuna kazi life is not fair.
 
Jambo la ajabu, yule mhuni alietishia bastola Nape, ni miongoni mwa wauaji wamuuza madini.

Ingekua nafasi yangu ya hukumu, ninge sign kunyongwa wale wahuni moja kwa moja.
 
Wale wafungwa wanaofungwa kwa kesi za kubambikiwa sijui wizi wa kuku na simu sijui kibaka mkabaji, wasipokwenda mbinguni then nitamsema sana Yesu nikimkuta huko juu.
 
Back
Top Bottom