ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 May 13, 2024 #1 1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair.
1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 May 13, 2024 #2 Hiyo ni kazi ya waandishi wa habari za mahakama.
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 May 13, 2024 #3 Jambo la ajabu, yule mhuni alietishia bastola Nape, ni miongoni mwa wauaji wamuuza madini. Ingekua nafasi yangu ya hukumu, ninge sign kunyongwa wale wahuni moja kwa moja.
Jambo la ajabu, yule mhuni alietishia bastola Nape, ni miongoni mwa wauaji wamuuza madini. Ingekua nafasi yangu ya hukumu, ninge sign kunyongwa wale wahuni moja kwa moja.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 May 13, 2024 #4 ndege JOHN said: 1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair. Click to expand... Mambo Yao Hayo Huwezi Sikia Muendelezo Wao
ndege JOHN said: 1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair. Click to expand... Mambo Yao Hayo Huwezi Sikia Muendelezo Wao
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 May 13, 2024 #5 Wale wafungwa wanaofungwa kwa kesi za kubambikiwa sijui wizi wa kuku na simu sijui kibaka mkabaji, wasipokwenda mbinguni then nitamsema sana Yesu nikimkuta huko juu.
Wale wafungwa wanaofungwa kwa kesi za kubambikiwa sijui wizi wa kuku na simu sijui kibaka mkabaji, wasipokwenda mbinguni then nitamsema sana Yesu nikimkuta huko juu.