matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Wanufaika si wananchi wa hizo nchi (Uganda/Rwanda) bali viongozi wachache wanaocheza huo mchezo.Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.
Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.
KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Labda mjini mbona vijijini na maeneo mengine hakuna tofauti na sehemu nyingine.Rwanda ina uchumi mzuri
Wasipoiba watakuwa mafukaraWakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.
Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.
KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Rwanda hana bandariLabda mjini mbona vijijini na maeneo mengine hakuna tofauti na sehemu nyingine.
Nchi ndogo kama ile yenye watu wachache kama inaexport Hadi dhahabu tulitegemeq iwe imeshafikia malengo ya Rais wao ( Rwanda to be Singapore of Africa).Rwanda Iko vizuri labda Uganda
Sisi tumeshafeli hilo hatukatai, kama Bado kwenye vyanzo vya MAJI Kuna uhaba wa MAJI maana yake tunahitaji reform kubwa sana ili akili zetu ziwe na uwezo wa kutatua haraka changamoto ambazo tayari MwenyeziMungu ameshazitatua KWA kutupa natural resources.Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine
Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
Hapo sawaHela zinaishia mifukoni Kwa wachache
Ufisadi na RUSHWA pia vipoNchi ndogo kama ile yenye watu wachache kama inaexport Hadi dhahabu tulitegemeq iwe imeshafikia malengo ya Rais wao ( Rwanda to be Singapore of Africa).
Lakini sidhani kama hata wameshafika uchumi wa kati.
View attachment 3288516
Hii Rwanda huwa mnaipaisha Sana . Sijui ni kukaririshana au story za vijiwe. Kweli Rwanda iizidi tz uchumi.Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine
Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
Vyovyote iwavyo ila namuona PK bonge la kiongoziSisi tumeshafeli hilo hatukatai, kama Bado kwenye vyanzo vya MAJI Kuna uhaba wa MAJI maana yake tunahitaji reform kubwa sana ili akili zetu ziwe na uwezo wa kutatua haraka changamoto ambazo tayari MwenyeziMungu ameshazitatua KWA kutupa natural resources.
Hapo nimeangalia wikipedia. Rwanda wanaexport Dhahabu, Tin, na ores za madini kadhaa.
Sijui ni KWA kiwango gani ila KWA idadi ya raia wao na jinsi wanavyojinasibu walitakiwa KUWA mbali kuliko walipo Sasa. Labda kama ni hub ya kupitishia madini ya wazungu huku wao wanaishia kula vikodi tu au ni kiasi kidogo sana. Ila madini mkuu lazima yakufanye tajiri upesi sana
Rwanda wana huduma Bora jamii kama maji, Afya, elimu, umemeHii Rwanda huwa mnaipaisha Sana . Sijui ni kukaririshana au story za vijiwe. Kweli Rwanda iizidi tz uchumi.
Ni kweli. Je ume'compare other factorsRwanda wana huduma Bora jamii kama maji, Afya, elimu, umeme
Miundo mbinu barabara n.k
Angalia shirika lao la ndege Rwanda air linanganisha na kwetu
Angalia walijenga Amahoro stadium 🏟️
Angalia walivo solve tatizo la aijira Kwa vijana
Rwanda wako serious mkuu
Kwa resources walizonazo na maendeleo wanaofanya itakuwa unafiki tusipowapongezaNi kweli. Je ume'compare other factors
Rwanda wanatuzidi maendeleoWanafaidika wachache na utakuta hela zinafichwa Ulaya
Kama wananchi wa kawaida ndio wananufaika basi maendeleo utayaona
Ni sawa na vingozi wetu wanataka tuwachague lakini wakikaa madarakani bado umasikini upo tu
Wanaona matatizo yote ila wanayafumbia macho