matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
-
- #21
Karibu nusu ya nchi wanaishi chini ya mstari wa umasikini. Wanafeli wapi, je ni sehemu sahihi ya kujifunzia au kujilinhanishia?Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine
Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
Hayo ni maandishi tuKaribu nusu ya nchi wanaishi chini ya mstari wa umasikini. Wanafeli wapi, je ni sehemu sahihi ya kujifunzia au kujilinhanishia?
View attachment 3288542
Viongozi ndio wanufaika sio raia wa kawaidaWakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.
Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.
KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Wamefanywa wawe masikini makusudi ili iwe rahisi kuwatawala.Karibu nusu ya nchi wanaishi chini ya mstari wa umasikini. Wanafeli wapi, je ni sehemu sahihi ya kujifunzia au kujilinhanishia?
View attachment 3288542
Inategemea aneiba ni nani na Hela anazipeleka wapiWakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.
Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.
KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Yep hayo ushafika Rwanda achana na propaganda za toluRwanda wanatuzidi maendeleo
Rwanda nimefika nadhani mwaka Juzi nilikuwa pale ChigaliYep hayo ushafika Rwanda achana na propaganda za tolu
Maendeleo ya yapime na vijijini mkuu. Hadi 2023 47% ya hawa jamaa inaonyesha walikuwa wanaishi chini ya mstari wa umasikini.Rwanda nimefika nadhani mwaka Juzi nilikuwa pale Chigali
Maendeleo yanaonekana Kwa macho
Sitaki nikupingeMaendeleo ya yapime na vijijini mkuu. Hadi 2023 47% ya hawa jamaa inaonyesha walikuwa wanaishi chini ya mstari wa umasikini.
Kama wanatuhimiwa kuiba huko jirani, tunatakiwa tuone matokeo Hadi kwenye Nyumba za Tembe. Ulaya walipotuibia tunaona maendeleo ya wazungu Hadi maporini.
Viongozi wa Africa ni laana. Mali zote zinaingia kwenye Account ya Kagame na Museveni. Ndiyo maana kuna kipindi walitaka kugombana. Wakigombea mali za Congo.Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.
Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.
KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Nimepata KITU. Hata kwetu ndio maana changamoto na umasikini wetu ndio umeheuka kigezo cha mwanasiasa kushika madaraka. Yuko radhi ajenge Msingi wa zahanati hata kama pesa yote ipo ili uchaguzi ukikaribia ndio ainue boma.Wamefanywa wawe masikini makusudi ili iwe rahisi kuwatawala.
Viongozi wa kiafrika hawana uwezo wa kuongoza watu walioshiba.
Ukiwa na njaa wewe ni mtumwa huru
Rwanda ina uchumi mkubwa kuliko tanzania ?Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine
Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
πππππRwanda hana bandari

Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.
Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.
KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Mfano rahisi tu check ushuru mkubwa wa ukiagiza magari toka nje hawana fact zaidi ya wengi wasimiliki magari, hawataki tu roho mbaya.Nimepata KITU. Hata kwetu ndio maana changamoto na umasikini wetu ndio umeheuka kigezo cha mwanasiasa kushika madaraka. Yuko radhi ajenge Msingi wa zahanati hata kama pesa yote ipo ili uchaguzi ukikaribia ndio ainue boma.
Takwimu ndio zinaweza kusaidia sana kuliko kutazama na kuangalia.Sitaki nikupinge
Rwanda ilipo ni bora
Angalia Shirika lao la ndege Rwanda air na ATCL
Tazama jeshi lao na vifaa vya kivita
Tazama Miundo mbinu Yao ya barabara na reli
Tazama sekta Yao ya utalii inavozingumzwa duniani
Tazama sekta ya michezo na hapa natabiri kwenye hizi nchi zinazoandaa Afcon Kwa maana Kenya Uganda na TANZANIA mmoja atapokwa atapewa Rwanda
Sawa matatizo Bado wanayo ila inaonekana wana Nia thabiti ya kuyamaliza
Nasi hatuna dhamira ya maendeleoRwanda wanatuzidi maendeleo
Unazungumzia Kigari?Rwanda wana huduma Bora jamii kama maji, Afya, elimu, umeme
Miundo mbinu barabara n.k
Angalia shirika lao la ndege Rwanda air linanganisha na kwetu
Angalia walijenga Amahoro stadium ποΈ
Angalia walivo solve tatizo la aijira Kwa vijana
Rwanda wako serious mkuu