BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Rwanda Air ina make loss pia, na oia usilinganishe uchumi wa nchi kupitia sijui shirika la ndege, hizi ni comparison za kijinga sana, Rwanda bado ina Uchumi mdogo sana vijijini kuna uamsikini haswa.Sitaki nikupinge
Rwanda ilipo ni bora
Angalia Shirika lao la ndege Rwanda air na ATCL
Tazama jeshi lao na vifaa vya kivita
Tazama Miundo mbinu Yao ya barabara na reli
Tazama sekta Yao ya utalii inavozingumzwa duniani
Tazama sekta ya michezo na hapa natabiri kwenye hizi nchi zinazoandaa Afcon Kwa maana Kenya Uganda na TANZANIA mmoja atapokwa atapewa Rwanda
Sawa matatizo Bado wanayo ila inaonekana wana Nia thabiti ya kuyamaliza
Sawa tupo hapa kubadilishana mitazamo na kujifunza piaRwanda Air ina make loss pia, na oia usilinganishe uchumi wa nchi kupitia sijui shirika la ndege, hizi ni comparison za kijinga sana, Rwanda bado ina Uchumi mdogo sana vijijini kuna uamsikini haswa.
ainazidiwa mbali sana GDP na mkoa wa Dar es salaam
Shangaa. Kuna praise and worship ya Rwanda humu wao kila kitu Rwanda iko juu.Hii Rwanda huwa mnaipaisha Sana . Sijui ni kukaririshana au story za vijiwe. Kweli Rwanda iizidi tz uchumi.
Kuna muda uwa unaandika kama umekatwa kichwa umefika Rwanda kweli? Rwanda ipi unayozungumzia kuwa imeipita Tanzania kiuchumi?Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine
Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
Nimekwambia hivi ingawa Rwanda hawana hata robo ya robo ya resources zetu ila wana Fanya vitu vinaonekanaKuna muda uwa unaandika kama umekatwa kichwa umefika Rwanda kweli? Rwanda ipi unayozungumzia kuwa imeipita Tanzania kiuchumi?
Taja vitu walivyotupita!.
Naona umeanza kuwa mpole... Statement yako tumeisoma kwamba Wapetupita kiuchumi. Wewe uchumi unaupima kwa macho ukifika Kigali basi.Nimekwambia hivi ingawa Rwanda hawana hata robo ya robo ya resources zetu ila wana Fanya vitu vinaonekana
Tanzania hatupaswi kujilinganisha na ka nchi kama Rwanda
Unfortunately, pinning down the precise net worth of political leaders, including Paul Kagame, is often very difficult. Financial information related to those in positions of power can be complex and not always publicly available.Wanaiba wanaficha Ulaya.
Pili wanaoiba ni watawala na sio wananchi
Kunywa soda ntalipa mkuuWanufaika si wananchi wa hizo nchi (Uganda/Rwanda) bali viongozi wachache wanaocheza huo mchezo.
Iambie itafsiri kwa kiswahiliUnfortunately, pinning down the precise net worth of political leaders, including Paul Kagame, is often very difficult. Financial information related to those in positions of power can be complex and not always publicly available.
Here's what I can tell you based on the information I found:
It is important to remember that:
- It is difficult to find reliable sources that give a concrete number for Paul Kagame's net worth.
- Information is available concerning his salary. For example, sites such as wageindicator.org provide salary information.
- Determining the wealth of political leaders is complex.
- Information can vary, and accuracy is not always guaranteed.
Credit: Gemini
Hakika, hii hapa tafsiri ya sentensi hizo:Unfortunately, pinning down the precise net worth of political leaders, including Paul Kagame, is often very difficult. Financial information related to those in positions of power can be complex and not always publicly available.
Here's what I can tell you based on the information I found:
It is important to remember that:
- It is difficult to find reliable sources that give a concrete number for Paul Kagame's net worth.
- Information is available concerning his salary. For example, sites such as wageindicator.org provide salary information.
- Determining the wealth of political leaders is complex.
- Information can vary, and accuracy is not always guaranteed.
Credit: Gemini
Wamekuwa brainwashed na propaganda za PKShangaa. Kuna praise and worship ya Rwanda humu wao kila kitu Rwanda iko juu.
Unaandika vitu vya kufikirika. Hiyo reli nchini Rwanda wewe uliiona wapi?Sitaki nikupinge
Rwanda ilipo ni bora
Angalia Shirika lao la ndege Rwanda air na ATCL
Tazama jeshi lao na vifaa vya kivita
Tazama Miundo mbinu Yao ya barabara na reli
Tazama sekta Yao ya utalii inavozingumzwa duniani
Tazama sekta ya michezo na hapa natabiri kwenye hizi nchi zinazoandaa Afcon Kwa maana Kenya Uganda na TANZANIA mmoja atapokwa atapewa Rwanda
Sawa matatizo Bado wanayo ila inaonekana wana Nia thabiti ya kuyamaliza
Tanzania ni ya kulinganishwa na Kenya sio Rwanda. Size ya Rwanda ni Burundi.Nimekwambia hivi ingawa Rwanda hawana hata robo ya robo ya resources zetu ila wana Fanya vitu vinaonekana
Tanzania hatupaswi kujilinganisha na ka nchi kama Rwanda
Tayari fanya muamala πππKunywa soda ntalipa mkuu
Ila nyie mnachekesha eti Rwanda inatuzidi maendeleoRwanda wanatuzidi maendeleo
Jibu likp wazi....viongozi wanajimililisha pesa zote sio wananchi masikini plus jeshi na serikali wananeemeka....ili wabakie madarakani mileleWakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.
Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.
KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Mkuu, kwa parameter gani Rwanda inaizid Tz kiuchumi, yan wew chagua, kuanzia HDI had per capital vyote tunamzid mbali,Rwanda hana bandari