Una maanisha rwanda hawana tatizo la ajira kwa vijana ?Rwanda wana huduma Bora jamii kama maji, Afya, elimu, umeme
Miundo mbinu barabara n.k
Angalia shirika lao la ndege Rwanda air linanganisha na kwetu
Angalia walijenga Amahoro stadium 🏟️
Angalia walivo solve tatizo la aijira Kwa vijana
Rwanda wako serious mkuu
ww umekubali kuwa chini ya Rwanda , umebakia kama mshabiki unasubir Rwanda iwe kama Singapore ya afrika ili ushangilieNchi ndogo kama ile yenye watu wachache kama inaexport Hadi dhahabu tulitegemeq iwe imeshafikia malengo ya Rais wao ( Rwanda to be Singapore of Africa).
Lakini sidhani kama hata wameshafika uchumi wa kati.
View attachment 3288516
ww unataka uchumi wa kwenye makaratasi au uchumi halisia ?Mkuu, kwa parameter gani Rwanda inaizid Tz kiuchumi, yan wew chagua, kuanzia HDI had per capital vyote tunamzid mbali,
Huo uchumi halisia ni upi usioreflect kwenye karatasi?ww unataka uchumi wa kwenye makaratasi au uchumi halisia ?
Current statistics form the World Bank show that in 2011, 49.1% of Tanzanians lived below US$1.90 per day. This figure is an improvement over 2007's report indicating a poverty rate of 55.1%.Karibu nusu ya nchi wanaishi chini ya mstari wa umasikini. Wanafeli wapi, je ni sehemu sahihi ya kujifunzia au kujilinhanishia?
View attachment 3288542
karatasi anaandika mwana siasa kuonesha kafanya kaz , ndio maaba k/koo ya 1980 ni tofaut na k/koo ya leo , kwasas Tz hatuna city centre , bali tuna slams za masokoHuo uchumi halisia ni upi usioreflect kwenye karatasi?
je Tz hali ikoje ? hatuez songa mbele kama tutaendelea kuwa wanafiki , Rwanda hana maliasili ila anaoambana kuondoa ujinga nawa umaskini , ila ccmu inapambana kuongeza umaskini na ujinga ili wapate machawa wengi zaidRwanda Air ina make loss pia, na oia usilinganishe uchumi wa nchi kupitia sijui shirika la ndege, hizi ni comparison za kijinga sana, Rwanda bado ina Uchumi mdogo sana vijijini kuna uamsikini haswa.
ainazidiwa mbali sana GDP na mkoa wa Dar es salaam
kuna nchi haina ttzo la ajira ? swala ni rate zinalingana?Una maanisha rwanda hawana tatizo la ajira kwa vijana ?
Hizo huduma za afya umelinganisha na wapi
Rwanda ana unemployment rate ya 15%kuna nchi haina ttzo la ajira ? swala ni rate zinalingana?
UMEME : RwandaUna maanisha rwanda hawana tatizo la ajira kwa vijana ?
Hizo huduma za afya umelinganisha na wapi
tuongee ukwel watz wasio na ajira ni 8.1% ? mimi kwenye vijana 20 nawajua basi 5 hawana ajira yaan sw na 20%Rwanda ana unemployment rate ya 15%
Tanzania ana 8.1% haya nambie, nani ana rate kubwa ? Uache kumezeshwa propaganda
Pesa wanazipata wachache sio kwa maendeleo ya wananchi rejea ripoti ya CAG juzi kuna mabilioni yamefyekwa umeyaona mtaani ila ukipita Mbweni huko kunatisha sanaWakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.
Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.
KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Unemployment rate KWA Rwanda ni 15% wakati Tanzania ni 2%Una maanisha rwanda hawana tatizo la ajira kwa vijana ?
Hizo huduma za afya umelinganisha na wapi
Weka takwimu za jeshi,utawala,utalii,miundombinu,Elimu kila kitu unachosema Rwanda imepita Tz umeropoka tu hakuna chochote Rwanda walichoizidi TanzaniaUMEME : Rwanda
MAJI : Rwanda
USALAMA : Rwanda
USAFIRI : ANGA - Rwanda
ARDHI - Tz =Rwanda
MAJINI -Rwanda= Tz japo Tz tuna
water bodies nying ila bado usafir upo
duni kote huko kulinganisha na
Rwanda ndan ya ziwa Kivu
ELIMU : Rwanda by far
UTAWALA : Rwanda
SANAA: Tz
UTALII : Rwanda
EXPORTS : Tz
IMPORTS : Tz
MICHEZO : Rwanda ( Current)
JESHI ; Rwanda
USAFI : Rwanda
KILIMO : Tz
UVUVI : Tz
UFUGAJI : Tz
SIASA : Tz
MIUNDOMBINU : Rwanda
GROWTHRATE : Rwanda
POVERTYRATE : Tz
ILLITERACYRATE : Tz
Michezo Rwanda katuzidi kipi? Maana simuoni anga za kimataifa sio football, sio riadha wala michezo mingineyo, au mnataja tu ili mradi. Tupe figure au walau mfano Hai basi.UMEME : Rwanda
MAJI : Rwanda
USALAMA : Rwanda
USAFIRI : ANGA - Rwanda
ARDHI - Tz =Rwanda
MAJINI -Rwanda= Tz japo Tz tuna
water bodies nying ila bado usafir upo
duni kote huko kulinganisha na
Rwanda ndan ya ziwa Kivu
ELIMU : Rwanda by far
UTAWALA : Rwanda
SANAA: Tz
UTALII : Rwanda
EXPORTS : Tz
IMPORTS : Tz
MICHEZO : Rwanda ( Current)
JESHI ; Rwanda
USAFI : Rwanda
KILIMO : Tz
UVUVI : Tz
UFUGAJI : Tz
SIASA : Tz
MIUNDOMBINU : Rwanda
GROWTHRATE : Rwanda
POVERTYRATE : Tz
ILLITERACYRATE : Tz
Weka takwimu za jeshi,utawala,utalii,miundombinu,Elimu kila kitu unachosema Rwanda imepita Tz umeropoka tu hakuna chochote Rwanda walichoizidi Tanzan
Wanyarwanda wenyewe wanavaa jezi za YangaMichezo wame
Michezo Rwanda katuzidi kipi? Maana simuoni anga za kimataifa sio football, sio riadha wala michezo mingineyo, au mnataja tu ili mradi. Tupe figure au walau mfano Hai basi.
Mfano. Tz kacheza afcon mara mbili... Rwanda kacheza ngapi in the past five years or ten
Tz Ina vilabu robo fainali ya CAF mfululuzo miaka zaidi ya mitano Sasa.
Riadha japo hatufanyi vizuri tunawasikia kina Simbu...
Ebu Tupe takwimu au mifano ya Rwanda tuone kwenye michezo kafanya nini
Na kununua silaha ili wapore zaidiHela zinaishia mifukoni Kwa wachache