Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

Yaaani, watanzania mnasumbuka na kuteseka na Rwanda sana, Sasa sijui ni uoga wenu au mnaipenda sana Rwanda?
 
Ni suala la muda tu, lakini mambo yetu Tz yakiendelea hivi, na wao wakaendelea na kasi waliyo nayo chini ya PaKa, watatupita mbali ndani ya miaka 5 tu ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…