MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi?
Sasa hivi nikikutana tu na Mpuuzi anasema kuwa Kufungwa Kimoko ( cha Nguruwe ) Dar es Salaam na Kufungwa tena Kimoko ( cha Nguruwe ) Port Harcourt ni kutokana na Timu Kukosa Pre Season nampiga Mtu ama Kofi au hata Ngumi ya Chembe vile vile.
Yaani mnatumia Nguvu kubwa Kusajili Wachezaji wabovu, wa Mkopo, huku mkiwekeza muda wenu mwingi kutengeneza Jezi nyingi ili muuze, mnahonga hovyo Watangazaji wa Redio, Waandishi wa Habari na Wachambuzi wa Michezo ili wawe wanawasifia 24/7, mnaenda Morocco kukaa Siku 4 badala ya Siku 10 au 15 na mnamsajili Mpumbavu Mmoja aje Kuwatukana Simba SC halafu leo mnafurumushwa CAF CL nje ndani na Rivers United FC mnakimbilia kusema Timu ilikosa Pre Season.
Nilishawaonya kuhusu GSM ila hamsikii.