Kama Samatta kakwama huko England mashabiki tuambiwe ukweli

Kama ni hivyo basi njia nyeupe kwa Samatta

Sent using Jamii Forums mobile app
99.999% Mkuu....
Majuzi nilisoma Report ya Ma scouts wa Aston Villa kuhusu Uwezo wa Samatta.... Wenzetu wako mbali sana.... Wakazungumzia mpaka lile Goli lake la Kichwa Dhidi ya Liverpool, wanasema kwa mtu kama yeye anayeweza kufunga kwa Miguu yote, mwenye speed kubwa akiwa na Mpira, mwenye nguvu na anayeweza kufunga hata kwa Vichwa, ata fit kwenye mfumo wa Aston Villa upesi... Na akishasajiliwa Anaweza kuanza moja kwa moja.
 
Kama AV watakwama kwenye issue ya WP (Naomba Mungu isitokee) basi AV wana authority ya kumtoa LOAN Samatta kwenda Club ambayo Nchi yake haina kikwazo cha WP! Huko Samatta ataongeza Credits zake kisha AV watamuombea tena WP!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thnx
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aston Villa have completed the signing of striker Mbwana Samatta from Genk on a four-and-a-half-year contract.
Source: SkySports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…