Kama Samatta kakwama huko England mashabiki tuambiwe ukweli

Kama Samatta kakwama huko England mashabiki tuambiwe ukweli

Kama ni hivyo basi njia nyeupe kwa Samatta

Sent using Jamii Forums mobile app
99.999% Mkuu....
Majuzi nilisoma Report ya Ma scouts wa Aston Villa kuhusu Uwezo wa Samatta.... Wenzetu wako mbali sana.... Wakazungumzia mpaka lile Goli lake la Kichwa Dhidi ya Liverpool, wanasema kwa mtu kama yeye anayeweza kufunga kwa Miguu yote, mwenye speed kubwa akiwa na Mpira, mwenye nguvu na anayeweza kufunga hata kwa Vichwa, ata fit kwenye mfumo wa Aston Villa upesi... Na akishasajiliwa Anaweza kuanza moja kwa moja.
 
Kama AV watakwama kwenye issue ya WP (Naomba Mungu isitokee) basi AV wana authority ya kumtoa LOAN Samatta kwenda Club ambayo Nchi yake haina kikwazo cha WP! Huko Samatta ataongeza Credits zake kisha AV watamuombea tena WP!
Imagine huo mpango wa kwenda Aston Villa ukazingua hivi wale walio mpongeza kwenye page zao pamoja na kuweka picha za photoshop wataweka wapi sura zao.!?? Vipi na wale wanao enda kwenye page ya Aston Villa na viswahili vyao vya kejeli?

Lakin leo Genk si wanacheza, vipi Samatta yupo kwenye kikosi.??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thnx
Juzi Jana nimekua nikifatilia habari za Samatta kwenda Aston Villa...

Ukweli ni kwamba keshafanyiwa Vipimo....
Kuhusu kupata Work permit atapata kupitia Record alizonazo huko Genk..... Kwani ana Record zinazombeba kuweka kupata Points za kutosha kwa ajiri ya yeye kupata Work permit....

Nilimsikiliza Coach wa Aston Villa Jana akiongea baada ya Mechi Ma Brighton alisema "Wapo Karibu Sana kumaliza deal la Samatta, walijua asingeweza kucheza dhidi ya Brighton, but Wana uhakika ataanza Mechi ijayo dhidi ya Watford....

Kwa uzoefu wa wengi huko Duniani Aston Villa wanasubiri Work permit ya Samatta iwe tayari ndo WAMTAMBURISHE rasmi....!

Yeye mwenyewe haruhusiwi kusema chochote...

All In all 99.999% Samatta ni Mchezaji wa Aston Villa....
Hiyo 0.1% labda afe Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aston Villa have completed the signing of striker Mbwana Samatta from Genk on a four-and-a-half-year contract.
Source: SkySports
 
Back
Top Bottom