kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata wayapeleke wapi
Nilijua alivyoenda huko angesaini madili ya kuagiza mafuta Urusi ili bei ishuke au masuala ya gesi
Anafahamu fika kuwa mafuta tunatoa uarabuni na sasahivi mafuta ya Uarabuni hayatoki, alipaswa kutafuta mbadala kule russia ambayo pia mafuta yao ni bei chee mnoo
Sisi sijui katuroga nani, tunanunua mafuta kutoka India ambaye hana mafuta, india ambaye ni dalali/ winga ambaye huyatoa Urusi na kuja kutuuzia tena....kwanini tusiagize direct kutoka Urusi?Hivi sisi katologa nani
Na kama alienda Russia ni kipi cha maana alienda kufanya kama hakukua na mazungumzo ya mafuta na gesi?