MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
NdioUmesikia alokatwa ubunge geita katekwa sababu katuma sms 2000 kuhamasisha maandamano??
Message 2000 ni chache ukilinganisha na uwezo wetu... Tunaweza kuwasiliana na watu zaidi ya million 1 kwa dk 5.Umesikia alokatwa ubunge geita katekwa sababu katuma sms 2000 kuhamasisha maandamano??
vyombo vyote vya mawasiliano viko chini yake anatuma atakavyo, hao wengine wakituma ni uchocheziKumekuwepo na Swali la Watu wa vijijini hawako kwenye mitandao ya kijamii, je watajuwaje kuhusu Maandamano?
Je kwa nini tusianze kuhimiza watu wa vijijini na mijini faida za maandamano kupitia SMS moja kwa moja kwenye simu zao.
Nawasilisha wazo teremshemi maeneo ya kimkakati ya kuhamasisha zaidi.
Safari hii tumejipanga sana kiteknolojia.
Inaitwa timingKama lipo ndani ya uwezo wako anza sasa.
Tupo nyuma ya muda ilitakiwa tuanze kupata meseji tangia tarehe 1 mwezi huu.
Tuna reverse engineering mifumo ya CCM na Samia inayotuma messageUmesahau kama TCRA ni mali yake! Watakuchoma kwa policcm dakika 0!
Na ukumbuke leo na wenyewe wameanza kutuma meseji za kutuzuia eti tusitume meseji za kuhamasisha uvunjifu wa amani! Uchawa ni kila mahali mpaka imekuwa ni kero sasa.
Kanatuharibia nchiSamia arudi kwao atiachie nchi yetu salama.
Zinatumwa kutokea India au KenyaLabda utume kichawi.
Ila kwa Mitandao ya simu, Hzo SMS zitakua blocked na wewe utatupa kaza ya kukutafuta
Mkuu mnachelewa sana.Zinatumwa kutokea India au Kenya
Yeye kafanya kwa nafasi yake, ukisema ni chache inapaswa nawe uonyeshe uwezo wako, don't complain!.Message 2000 ni chache ukilinganisha na uwezo wetu... Tunaweza kuwasiliana na watu zaidi ya million 1 kwa dk 5.
Tumeona message baadhi zinazuiwa
If you’re in a position to do so tafadhali fanya utasaidia kitu.Tuna reverse engineering mifumo ya CCM na Samia inayotuma message