Kama Samia atagombea urais 2025 awekewe zuio yeye na chama chake wameanza kampeni za urais mapema. Mabango mengi hadi KERO!!

Kama Samia atagombea urais 2025 awekewe zuio yeye na chama chake wameanza kampeni za urais mapema. Mabango mengi hadi KERO!!

Saa za kazi hizi wewe uko busy kumjadili raisi Samia.
Mwisho wa siku unakosa hela ya kula na kuamua kugawa mata-call yako ili mkono uende kinywani bwege wewe.
 
Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha kuanza Kwa kampeni.

Nashauri wagombea wenzie wamuwekee pingamizi wakati ukifika.
Naunga mkono hoja

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mabango yameandikwa chagua Sa100 mnamo 2025?

Lete ushahidi.
 
Back
Top Bottom