The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kichwa cha habari kiko wazi. Tofauti ya wasanii wa kisiasa na kisanaa ni namna wanavyopatikana. Wanaweza kufanya lolote hata kujidhalilisha au kuwadhalilisha, kujidhulumu au kuwadhulumu, kujidanganya au kudanganya wengine na mengine kama hayo ili tonge liingie mdomoni.
Ni viumbe wanaopenda umaarufu ila wasahaulifu. Ni viumbe wa hovyo na wasioaminika. Wanachotafuta ni neema yao na si ya yoyote. Ukiwaangalia wanasiasa wanavyojitahidi kuvaa na kujionyesha wazalendo kama hili juuha tulilo nalo linaloitwa waziri mkubwa au michooko kama Diamond na Harmonize, utagundua ninayosema. Ni viumbe wa hovyo sana na wanafiki wanaojionyesha kuwa wasafi na wema ilhali ni wachafu na wasio na huruma.
Kama Samuya na mwenzi wake Njaa kaya watatoboa, na wasanii uchwara watatoboa.
Napiga kelele kimya kimya baba wa wote.