Wakuu habari, samahan kuuliza si ujinga na kama ni ujinga basi ukinipa jibu utakuwa umenipunguzia ujinga.
Tunashauriwa kunawa mikono kwa maji tiririka. Iman yangu naamini tukinawa virus wanaondoka na maji, hiyo sawa.
Tukitumia sanitizer, tunapaka kwenye mikono na kuhamin virus wamekufa. Sasa swali langu.
Kama kweli virus wanakufa baada ya kutumia vitakasa mikono, kwann bas wataalam msituruhusu tunywe hizo santizer haswa kwa mgonjwa wa covid, hili kusudi akinywa hiyo sanitizer virusi vikafie ndan, au kudumaa, ama kukosa nguvu na hivyo mgonjwa kupona?
Au pia ata Kama si mgonjwa, mtu unapiga vijiko kadhaa unafili kuwa na kinga ya muda.
Mimi sina shule afya na hivyo sijui vitakasa mikono vina chamical gani inayoua wadudu na hiyo chamical ikiingia ndani ya mwili Ina madhara gani?
Kuna mtu anapaka kitakasa mikono kabla ya kula kitu au mkate, akisha paka anashika mkate anakula sijajua kama sanitizer haiingii tumboni.
Nisadieni kujua, uenda dawa tunayo hapa.