Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Mkuu najua swali lako ni rhetorical tu (huhitaji jibu)Hata hivyo nakushukuru kwa kutumegea taarifa nyeti.

Tangu 2021 kumekuwa na harakati nyingi za Kanisa Katoliki kuingilia mifumo ya Dola harakati ambazo zilianza kwa tuzo maalumu ya Papa kwa aliyekuwa CDF, Jenerali Mabeyo jambo ambalo lilinitafakarisha sana. Kisha ziara maalumu Vatican.
 
Kaka unapiga ramli chonganishi!
 
K
. Kwani katiba yenu pendwa inasemaje??? 🥴🥴

. Au katiba inatumika kufutia vioo vya madirisha 😐😐
 
Uzoefu unaonesha kuwa Kwa Bongo Makamu wa rais na waziri mkuu kuwa Rais ni ngumu!

Kuhusu Rais kuwa mkatoliki, iliwezekana kwa Mkapa kwa sababu ya Nyerere, na kwa Magufuli iliwezekana kwa sababu ya Mkapa, Bahati mbaya wamemalizana wenyewe hadi Membe!

Kwa sasa nguvu ya maamuzi haipo upande wao, muda utasema, Muda ni mwalimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…