Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Labda mambo yakiharibiiikaa sana ndio ataweza kupokea white house huyo mwenye mipango sijui mpango tofauti na hapo huyu maza wataforce afike 2030 wakati huo huyo mpango anaweza asiwepo dunian au kuwa na afya isiyomruhusu kubeba majukumu mazito ya kitaifa, au umri kumtupa mkono, kiufupi atakuja kutokea yule msiyezania atatushangaza sana...

Naishia hapa
 
Kwani cathos ni tz pekee, mbona huko kwingine hamna kitu hcho?
Kwa sababu TZ ni kibaraka ama kolon la Hao UK ambao nao ni kibaraka wa huyo huyo Vatican ambao hawa wanazalisha maspy wao ama vibaraka wao ambao ni hao makadinari na baadhi yao ni hawa wanasiasa wa dini hizi mbili uislam na ukristo kwa dini ya ukristo wamebase kwa mkatoric maana ni rahisi kumcontroll kupitia sheria za kanisa, tofauti na hawa waprotestant na madhehebu yanayomtukana mkatolic.

Hatuna ujanja wa kuwakimbia hawa jamaa, labda tubadili mindset
 
B
Tusikariri sana au kuwa na mwenendo wa mazoea..mambo hubadilika....anaweza ibuka mtu wa dhehebu tofauti kabisa...ila mpango hajachangamka , uthubutu na ukali bado na Taifa linaweza kujaza wapiga dili sana na hatofanya lolote...
Ro Mpango anaweza kuwa mkali kwa vitendo kuliko Magu hujui tu.

Ndiye alithubutu kumkaba koo Makonda ule wizi wa kodi bandarini
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, amekuja mtu akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima".

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Mpango siyo Mkatoliki.
 
Tusikariri sana au kuwa na mwenendo wa mazoea..mambo hubadilika....anaweza ibuka mtu wa dhehebu tofauti kabisa...ila mpango hajachangamka , uthubutu na ukali bado na Taifa linaweza kujaza wapiga dili sana na hatofanya lolote...
Humjui vema huyo jamaa.
Mpango ni mpole kwa muonekano lkn ana misimamo mikali mno. Akipata power utauona upande wake wa pili.
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, amekuja mtu akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima".

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Kwani Mwinyimvua, Mirisho na Sululu wote ni Shia, Sunni, ama?
 
Pasco ni kwa Nini huyu mpango hajawa muanglikani kama ilivyo dini yao ya familia? Umewahi kuckia askofu Mpango wa Anglikan kigoma kigoma huko?

Ebu apply ile kitu ya fact checking machine kama unayo hapa alafu uje utwambie huyu ni muanglikana au mkatoliki!! Angalia ucje ukawa a prophet of the doom!!!! Ha ha ha !
Mpango ni Muanglican
 
Kuna mjomba wangu, huyu nilimwamini sana katika kufatilia maswala ya nchi. Alibahatika kusoma nyakati hizo, na kuwa mmoja wa wakubwa.
Tulijadili mara kwa mara siasa, wakati huo Lowasa akitajwa tajwa. Alinambia Rais wa nchi hii atakuwa mkatoliki si Lowasa wakati huo ilikuwa miaka ya 2010. Alisema 2015 Rais atakuwa mkatoliki. Japo nilijua Lowasa hawezi kuwa Rais lakini nilipenda kujua kwanini hoja ya Mkatoliki.

Alinambia, wakatoliki ni watu wanaofundishwa sana maadili na hasa wale walio soma ukatoliki acha hawa wanao jiita wakatoliki bila kufuata taratibu za kikatoliki za ekaristi takatifu.

Alisema, wakatoliki ufundishwa uongozi ndani yao, ni watu wenye nia thabiti katika maamuzi. Ni wazalendo. Alisema japo wanamapungufu yao lakini ukimkuta mkatoliki alie soma ukatoliki ukamkaa uwa ni wazuri sana katika kuongoza na wanapenda haki, na hawaogopi kitu wakiwa wanasimamia haki.

Alisema wakatoliki uanza kufundishwa unyenyekevu, kujiamini na kutumika kwa watu wakiwa toka wadogo kanisani, na hata wanapokwenda shule za seminari. Mkatoliki ufunzwa huduma kwa watu ndo maana mashirika yake yapo mengi kwa kutoa huduma.

Nilivuta picha ya wakatoliki nilosoma nao, wakatoliki mbalimbali niliokutana nao, nikaangalia na hawa wakristo wengine wa nyakati hizi mpya. Kuna utofauti mkubwa. Jaribu kuangalia padri au father anae hudumu mtaani na mchungaji tu wa kawaida katika wito. Utawajua wa romani wanasimama katika imani ipi.
Sibezi makanisa mengine, lakini ukweli utabaki palepale kuna tamaa kubwa za kiuongozi katika makanisa mengine tofauti na wakatoliki.

Ni migogoro mingapi inatokea kwenye makanisa mengine, ni viongozi wangapi toka makanisa mengine wanaishi maisha ya anasa, huku wamejawa na ufahari na kiburi. Wakijitangaza kuwa wanafedha nyingi na wengine udiriki kusema wanafedha kuzidi serikali wakiombwa kodi wanaanza kulialia.

Ulishawahi sikia mkatoliki alouvaa ukatoliki na kushiba ukatoliki akasababisha migogoro au migawanyiko ya kikanisa?

Romani ni mfumo, ulikuwepo hata kabla ya Marekani. Ni dora iliyokamilika yenye kila kitu. Romani imejipenyeza kila mahala, kama uonavyo Mmarekani basi romani ni zaidi ya kanisa. Romani ni utawala wa kiulimwengu. Wanajua kuwaandaa watu wao. Romani utazama miaka kuanzia 30, 50, 70 hadi 100 ijayo. Uwaandaa vijana.

Romani hawana upendeleo, uchukua vijana ambao hawadhaniwi toka vijijini, walio masikini tu na wakawaida, kisha uwasomesha. Uwahudumia kwa kila kitu. Waromani wakimsomesha au kumsaidia mtu hawamuachi. Huyu mtu au kijana au binti upewa konection mbalimbali toka nchi hadi nchi. Yeye anaweza asijielewe lakini wao wapo nae. Hatimae uweza hata kugombea nafasi za serikali huku wakiwa nae bila kuonesha nia.

Waromani, wanajua namna ya kupachika watu wao, na kuwafuatilia, wanaujasusi wa hali ya juu. Ndo maana katika viongozi wanao lindwa sana duniani, ukitoa PUTIN na MKOREA wa tatu ni PAPA.
Hii ndo dora ambayo ni kanisa lenye nguvu duniani. Eti wanatoa tamko watu wanawasanifu wanawatukana. Ha
ha ha! Hawajui!

Waromani unaweza ukawa hata si mtu wao lakini wakiona wanakuhitaji uwe nao, wananamna nzuri ya kujenga mahusiano na wewe. Hawaogopi au kuhofu kukuomba ujiunge na usomee upadre kama unasifa wanazoona zinafaa na wanakuamini. Hasa ukiwa katika umri wa kutumika kikanisa na kijamii.

Tanzania ilisaidiwa sana na waromani katika kufanikisha kujitawala na hata nchi kuendeshwa kwa ushauri mkubwa wa kiromani. Kuna watu watachukia. Lakini kumbuka waromani wamewekeza sana katika maeneo mbalimbali ya hii nchi. Wanamashule, wana vyuo, wana mahopitali, wanamashamba na hata mahoteli na maeneo makubwa muhimu nchini.

Mromani yupo kulinda haki yake, kulinda mali zake, na kujihakikishia hakuna jambo litakalo kwenda mrama kuhusiana na huduma zake hapa nchini. Kwanin asiandae vijana wake ktk fani mbalimbali.

Hii ni tofauti na madhehebu mengine hayaandai vijana katika fani mbalimbali. Wanacho jua wao ni kusomesha mtu uchungaji basi. Lakini Romani utakuwa father ila utasomea udakitari, ufamasia, uinjinia na mengineyo. Watakuingiza hata kwenye siasa.

Madhehebu mengine wao kuwa mchungaji udai sadaka. Ukipata sadaka nyingi katika ushirika wako, wahumini wakakupenda, asikofu wako anakuhamisha kukupeleka kijijini au hata kukuvua uchungaji. Hivi unaweza ukapata kweli kiongozi wa Taifa alie na uzalendo kwa staili hii?

Vijana wanaangaika wao wenyewe, wakifanikiwa kimaisha ni kupigiwa simu na baba mchungaji kila siku kuelezwa michngo ya kanisa.

Ati mtu kawa askofu tena Mkuu wa kanisa kwa miaka kumi bado anafuatwa na watu wa ndani anaambiwa agombee nae anakubali kugombea tena ili kufurahisha na kutumiwa na utawala.

Huu upuuzi uwezi ukuta kwa wakatoloki.

Wakatoliki wanajua mpango, na mpango wenyewe ndo huo wa kuandaa Mpango ili kuwa na Mpango.
Pamoja Hawa wavaa baibui usoni na kobazi akili ziro wanauza mipaka ya nchi yetu

Umezidisha ,punguza basi
 
Fuatilia kwa makini utaona kuwa uongozi ukitoka upande wa wakristo hususani katholiki humuumiza sana wananchi.

Kiuchumi na kijamii wananchi huwa hoi bin taaban tofauti na uongozi ukiwa umetoka upande wa waislamu.

Na kwa mtazamo wangu naona ndio hulka ya Kanisa katholiki. Mfano mdogo tu huzikwi kama unadaiwa sadaka!

Kwa hivyo kanisa katholiki hupambana sana Rais awe muumini wao kimkakati waweze kufanya mambo yao freely!
Hao marais wa Kikatoliki ndo waliofinyanga mifumo yote ya nchi hii. Anza kwa J.K.N, Mkapa mpaka John utanielewa.
 
Nguvu ya nyerere aliyowapa wakatoliki Tanzania hii ni ndogo? kwa lipi unafikiri wanataka wafanye nyerere mtakatifu?

Msome Sivalon utaelewa kama huelewi.

Wewe unaeandika siyo mkatoliki?
 
Back
Top Bottom