Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Nguvu ya nyerere aliyowapa wakatoliki Tanzania hii ni ndogo? kwa lipi unafikiri wanataka wafanye nyerere mtakatifu?

Msome Sivalon utaelewa kama huelewi.

Wewe unaeandika siyo mkatoliki?
Wakatoliki ndo walimpa Nyerere nchi atawale kwa niaba yao sio Nyerere alipewa nguvu na wao...

Kwa asilimia kubwa makoloni aliyoachia mwingereza alikabidhi uhuru kupitia kanisani.
 
Hii nchi hata hakae nanai hapo, bila kufumua mifumo yote ya kijamaa kwa kuleta KATIBA MPYA itayoendana na hali ya dunia ya sasa ni kazi bure.

Maendeleo tutaendelea kuona kwa wenzetu.
Nchi ina vikundi vya watu wameshikilia mifumo ya kunufahisha wao na watu wao na familia zao na sio wananchi wa kawaida.
 
Fuatilia kwa makini utaona kuwa uongozi ukitoka upande wa wakristo hususani katholiki humuumiza sana wananchi.

Kiuchumi na kijamii wananchi huwa hoi bin taaban tofauti na uongozi ukiwa umetoka upande wa waislamu.

Na kwa mtazamo wangu naona ndio hulka ya Kanisa katholiki. Mfano mdogo tu huzikwi kama unadaiwa sadaka!

Kwa hivyo kanisa katholiki hupambana sana Rais awe muumini wao kimkakati waweze kufanya mambo yao freely!
Ni hisia zako tu.
 
Kuna uwezekano mkubwa ndugu pasikali umekengeuka kanuni yako ya kukaa viti vifupi siku za jumapili. Kwa maandishi haya siyo tu kwamba umelewa John walker bali hata shisha ya Mazese (a.k.a jani) umetumia.

Aliyepo yupo na akiondoka anafuata mdogo wake March.

Laa! Sijui nimeandika nn hapa?? Ngoja nikemee hili pepo lililonipanda....pepo tokaaa!!
Sidhani. Bwana February Hana kitu. Hata jimboni kwake hakubariki kabisa
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, amekuja mtu akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima".

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Ya huko sio suala la sasa hivi wakati bado tuna matatizo lukuki ya kisiasa na kiuchumi sasa hivi. Na zaidi ya hapo aliyepo sasa anahaki ya kugombea tena, ukizungumzia hayo mabadiliko Kwa sasa bila kuelekea sababu za msingi itakuwa ni kutucheza shera .
 
Wakatoliki ndio wakristo waliosambaa angalau kwa usawa kila sehemu nchini, makanisa mengine yapo kikanda, kikabila, kifamilia, n.k.

Kkkt - Nyanda za juu kusini
Sabato - Kanda ya ziwa na kaskazini
Moravian - Mbeya
Anglikana - Ruvuma

Makanisa ya Eagt, Tag, n.k ni ya viongozi wanaorithishana kwa kusimikana.

makanisa mengine ya watu binafsi kina Mwamposa, Lusekelo, Mwakasege, mengi sana ni wanyakyusa lakini yapo kifamilia zaidi.

Binafsi sio mkatoliki ila kwenye uraisi tuwaachie tu.
Pumba tupu. Wakatoliki wengi waabudu mashetani na ma sanamu. Huko waliookoka kweli kweli hamuwezi kuwaweka maana watafichua mauozo yenu chungu nzima. Ila Taifa likiwa na kiongozi mcha Mungu wa dhati, watu hufurahi.
 
Hao marais wa Kikatoliki ndo waliofinyanga mifumo yote ya nchi hii. Anza kwa J.K.N, Mkapa mpaka John utanielewa.
Sio kweli, tawala chini mkristo/mkatholiki zimekuwa na kawaida ya ubabe, unyang'anyi na ukandamizaji wa vyombo vya Habari ili wananchi wasijue nini kinaendelea.

Ili hali tawala chini ya waislamu zimekuwa na kawaida ya uimarishaji wa demokrasia, uchumi wa watu na uhuru wa watu na vyombo vya habari.

Ukiangalia vizuri, tawala chini ya waislamu huleta nafuu kwa wananchi kiuchumi na kidemokrasia. Mara zote huja kusawazisha/kutuliza maumivu/machungu ambayo yanakuwa yamesababishwa na tawala chini wakristo.

Ukweli ni kwamba ukatholiki una ukoloni na ubabe mwingi ili hali uislam una ustaarabu mwingi.

Kwa sasa Mhimili wenye nguvu ya maamuzi umebadilika, na huo mhimili hautaruhusu makosa kutokea tena!
 
Wakatoliki hujenga halafu huja waislamu kubomoa na kuuza rasilimali kwa waarabu. Hili limetokea kwa Mwinyi, Kikwete na sasa kwa Samia.
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Huyu ndiye kaka mkubwa Paskali, mzee wa kutoa hint, voices from within au kutonywa na circles za jamaa kutoka kulee.

Mungu atupe uzima na afya njema, na kusudi la yeye alieumba mbingu na nchi na litimie sawia na mapenzi yake.
Yesu alitufundisha kuomba, "Mapenzi ya Mungu yatimie, hata duniani (Tanzania) kama huko mbinguni (sawia na agenda ya kiti cha enzi).

Jumatatu njema!
 
Back
Top Bottom