Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Asee Wana wa ufalme wamekutwa na dhahma wakiwa katika tamasha la MUZIKI la kidunia!!

Mungu wakati mwingine huturudisha njia kuu Kwa viboko hatari!!
Tena usiombe kiboko kile kiwe kimekuja wakati yupo mtu alienda mbele za Mungu kumahukuru kwa mabaya wanayoyapa badala ya kulalamika hapo Mungu huwa anashuka kuadhibu mwenyewe

2Mambo ya nyakati:20:1-hadi mwisho wa sura hii
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Mikataba ya kale

Mikataba ya shetani na mwanadamu!
 
Nyerere aliikabidhii hii nchi kwa Vatican.....kila marefu ya ncha Kuna siku ataibuka tu mkristo kukalia kile kiti asiye mkatoliki.
 
Halafu na upande wa pili, mbona wanakuwa ni wale wanaoendana na Mtangaza mwezi wa Kitaifa.

Sijaona hata fununu za kutoka kwa wale wengine

Ahaa nimekumbuka nilisikia eti Chama cha Maangamizi kina matawi yake, kwa hiyo hilo ni mojawapo la Tawi, lazima wachume kutoka mle.
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Aisee huu ni uchochezi na kutugawa wakristo
 
Dotto James Biteko, Ukatoliki unawakilisha nguvu ya Roma ambayo ndio nguvu ya Ulaya Magharibi. Ni ukoloni unaojificha nyuma ya dini ya kiongozi wa nchi.

Usidhani kuwa TEC waliukataa uwekezaji wa DP World wao kama wao, kuna nguvu ya Vatican nyuma ya ule waraka, hawapendi kuuona ushawishi wa dunia ya magharibi ukipotezwa hapa Tanzania katika kipindi hiki.
 
Humu ndan manabii tumebaki wa 5, yule jamaa aliesema ajali ya ndege,kuna mr pipa , kuna yule jamaa wa corona itapita na mhe, afu kuna yule wa mv, we bwana mkubwa nashindwa kukuweka kwenye list, kwasababu mwaka jana sijui juz umesema rais mwinyi atakalia kiti, leo hujakaa sawa umepindua mezaa, manabii wenzako tunashindwa kukuelewa japo kuna wakati mengine unaenda sawa
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Kimsingi uko sawa. Nakumbusha swala la muda. Wewe kama mwandishi naamini hujasahau. Kule mukiwa wenyewe huwa mnasema "meeting the deadline" Hili hujaliweka. Sasa na sisi tupige ramli?

Zawadini
 
Kuna uwezekano mkubwa ndugu pasikali umekengeuka kanuni yako ya kukaa viti vifupi siku za jumapili. Kwa maandishi haya siyo tu kwamba umelewa John walker bali hata shisha ya Mazese (a.k.a jani) umetumia.

Aliyepo yupo na akiondoka anafuata mdogo wake March.

Laa! Sijui nimeandika nn hapa?? Ngoja nikemee hili pepo lililonipanda....pepo tokaaa!!
Mnawafanya watu wajinga wenu!
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Ukatekumeni ni kama maji,lazima uyanywe.

Kanisa Takatifu la Roma
 
Trend setter mwamba Pascal Mayalla

Filippo kifikra na utendaji ni Festos Mogae mtupu!

NB: Festos Mogae alikuwa Rais wa Botswana 1999-2009.
 
Back
Top Bottom