Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, amekuja mtu akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima".

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Mkuu najua swali lako ni rhetorical tu (huhitaji jibu)Hata hivyo nakushukuru kwa kutumegea taarifa nyeti.

Tangu 2021 kumekuwa na harakati nyingi za Kanisa Katoliki kuingilia mifumo ya Dola harakati ambazo zilianza kwa tuzo maalumu ya Papa kwa aliyekuwa CDF, Jenerali Mabeyo jambo ambalo lilinitafakarisha sana. Kisha ziara maalumu Vatican.
 
Jidanganye[emoji1787][emoji1787]
20230929_110834.jpg
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, amekuja mtu akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima".

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Kaka unapiga ramli chonganishi!
 
K

. Kwani katiba yenu pendwa inasemaje??? 🥴🥴

. Au katiba inatumika kufutia vioo vya madirisha 😐😐
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, amekuja mtu akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima".

Hivyo kama hii sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama ni kweli anayefuata ni Fillipo, huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Uzoefu unaonesha kuwa Kwa Bongo Makamu wa rais na waziri mkuu kuwa Rais ni ngumu!

Kuhusu Rais kuwa mkatoliki, iliwezekana kwa Mkapa kwa sababu ya Nyerere, na kwa Magufuli iliwezekana kwa sababu ya Mkapa, Bahati mbaya wamemalizana wenyewe hadi Membe!

Kwa sasa nguvu ya maamuzi haipo upande wao, muda utasema, Muda ni mwalimu!
 
Back
Top Bottom