Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi.
Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa
Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?