Kama Serikali Haiamini Katika Uchawi, Mbona Inaamini Katika Kuukimbiza Mwenge?

Kama Serikali Haiamini Katika Uchawi, Mbona Inaamini Katika Kuukimbiza Mwenge?

Msimamo wa Serikali ni kuwa Haina dini, ila watu wake ndiyo wenye dini. Labda, inaweza ikawa ni kweli.

Serikali imetuambia pia kuwa haiamini katika uchawi, lakini ni wachache watakaoweza kulipokea hilo!

Kwani Mwenge ni nini kama siyo uchawi?

Inasemekana, Mbio za mwenge ziliasisiwa na mchawi aitwaye Forojo Ganze. Na kama ilivyo kawaida ya uchawi kufanywa kisiri siri, ndivyo na mwenge nao ulivyo. Watu wamekuwa wakidanganywa kuhusiana na mbio za mwenge ili wazione ni mbio za amani, kumbe kuna agenda zingine za siri.

Ukifuatilia yanayotendeka kwenye mikesha ya mwenge, ni dhahiri kuwa, kwa sehemu kubwa, ni mambo ya giza. Ni mikesha inayoambatana na ulevi pamoja na uzinzi kwa wingi.

Ulevi na uzinzi ni ibada ya sanamu.

Je! Serikali itaendelea kuudanganya umma wa Watanzania mpaka lini, kuwa haiamini katika uchawi huku yenyewe ikiendelea kufanya uchawi kila mwaka?
Bila Hilo limbwata LA mwenge wataongozaje Hawa watu milioni 60 bila Kash Kash. Lazima kila MWAKA AKILI zenu zilazwe ili iwe rahisi.... So every year lazima tu renew mkataba na wachawi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku nliaza kuuiba mwenge.
Mana naonanaga hakuna ulinzi wa kutosha mara kapewa mwalim mkuu mara kashika mwenyekiti nikaona ukiupanga uhalifu wako kisawasawa unauiba alafu uone watatengeneza mwingine au itakuaje.
 
Shauri yako LI-JINI LILE
 
Back
Top Bottom