Kama Serikali imekosa maelezo ya onyo, imekosa sauti; waandishi wa habari wamekataa kuwa mashahidi; Shahidi gani amebaki kesi ya akina Dk. Slaa?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi.

1. Maelezo yao ya onyo
2. Wamekataa kurekodiwa sauti
3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa

Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
 
Wanasiasa akili zao ni basi tu.
Mungu awafanyie wepesi maana kama kuna pepo na jehanam basi hawa viumbe watakuwa kuni.
 
Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi.

1. Maelezo yao ya onyo
2. Wamekataa kurekodiwa sauti
3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa

Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
Unafikiri hiyo ni kinga, wanajichelewesha tu, rejea kesi ya ugaidi ya Mbowe, hakutoa maelezo, akenda mahakamani na akapatikana na kesi ya kujibu-jifariji mkuu hao jamaa wanakula mvua
 
Mbowe alikula mnvua?
 
Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi.

1. Maelezo yao ya onyo
2. Wamekataa kurekodiwa sauti
3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa

Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
hata wewe utaenda kutoa ushahidi maana naamini uliwasikia na kuwaona wakieneza chuki, kuchochea uvunjifu wa amani, kueneza ubaguzi na kutishia kufanya tendo la uhaini. watanzania km siyo wote wengi tuliwashudia, we hilo lisikupe shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…