Kama Serikali ina ubavu wa kupambana na Rushwa ya ngono, waende pale Tanga

Rushwa ya ngono,atoae ngono ndie unufaika zaidi.
1.anapata uroda
2.anapelekwa lunch, dinner
3.anapewa nauli, usafiri
4.anapewa hitaji lake mfano upendeleo autakao mfano cheo,Kazi, tenda, ajira, promotion,cheti, huduma,nk
5.analazwa sehemu nzuri hotelini
6.anakuwa na uhakika wa chochote akitakacho kwa mpokea rushwa yaani godfather wake.anao uwezo wa kumtawala mpokea rushwa.Mfano kumkamata boss, lecture,afisa na atende kile atakacho asipokubaliana na matakwa ya mtoa rushwa atanyimwa rushwa,usiombe mpokea rushwa aliruka stage kwenye ukuaji.Mugabe alitaka kuhonga nchi kabisa Acha rushwa ya ngono Ina nguvu.
 
Huyo Gwakisa ashasemwa humu ila ulivyomtaja ni kama vile ni lazima wote tumjue. Kwa ambaye hajawahi msoma hatokuelewa
 
Hao anaowanyanyasa kingono kwa nini wapo kimya au jamaa ana mkono mrefu?
Wananufaika wanaolalamika ni wasiotoa rushwa.
Rushwa ya ngono mtu utoa kwa hiari ya either udhaifu wake au mapenzi yake.
 
Huyo Gwakisa ashasemwa humu ila ulivyomtaja ni kama vile ni lazima wote tumjue. Kwa ambaye hajawahi msoma hatokuelewa
Ana nini cha ziada hadi kizishinde taasisi zingine kumshughulikia kwani Takukuru au time ya maadili hamuioni?
 
Duh! Mtoa post mbona umeandika kwa hasira hivi? au kuna manzi kaliwa ukaumia?

Serikali haifanyii kazi umbea,bali ushahidi usio tiliwa shaka. Swala la ngono likiwa katika mahusiano ya kukubaliana wala halina shida, kama demu aliyeliwa kakubali kwa moyo wake na hakuna shida sasa inakuhusu nini?

Ungeeleza madhara ya matendo ya huyu mtumishi, yeye ni nani yuko idara gani,katumiaje vibaya nafasi yake na imeathili vipi sura ya serikali!

Lakini umeandika kimajungu na hasira sana kiasi kwamba watu wataona labda kamla demu wako ahahahaha

Hivi wewe mwenyewe hujawahi kufanya ngono kweli? Kama kweli,basi hii kitu irakurudia wewe(Karma)
 
Watu wa TANGA ule usinga haupo siku hizi?
Basi vukeni mpaka mwende kwa wakamba mkachukue dawa ya kukwamana akiwa na mke wa nje
 
Wakati mwingine hii serikali huzidiwa na mambo ya kisangoma [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Gwakisa ni nani, na cv yake ikoje na huko Tanga ni nani?
Maana inaonyesha anatesa sana watu
 
Rushwa za ngono kazini ni marufuku, unajua maana ya conflicts of interest?
 
Wanaotoa rushwa ya ngono wanafaidika vitu vingi sana.
1. Uroda
2. Kulala sehemu nzuri eg hotels
3. Kula vizuri huko hotelini kabla ya kuhondomola
4. Kupata kazi
5. Kupangiwa kazi sehemu nzuri yenye usafiri maji na umeme.


MLA rushwa anaingia hasara sana
1. Matumizi ya pesa
2. Kumtafutia kazi
3. Kumtidhisha kimapenzi
Nk

Waonye watoa rushwa maana ndio wanafaidi.

MLA rushwa ni hasara sana
 
Rushwa za ngono kazini ni marufuku, unajua maana ya conflicts of interest?
Mleta post hajaonesha huyu jamaa anaitumiaje ngono ktk mazingira ya kirushwa,kafulumua maneno matupu pasi ushahidi jahadidi!
 
Sisi watu wa lushoto(ushoto) tuna mti unaitw UMBOMBO kwa wenyeji wanaujua vizuri sana narudia tena UMBOMBo
 
kwenye CHAMA CHENYEWE kuna RUSHWA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…