Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu.

Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili.

Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo.

Nchi inatakiwa kupambana na mambo mazito sio ujinga wa mijitu imeshiba mihogo na supu
 
Hakuna kitu serikali haiingilii, hizi timu Zina raia wa Rais laZima serikali iingilie
Kusema football hsingiliwi na Serikali ni story tu
 
K
Hakuna kitu serikali haiingilii, hizi timu Zina raia wa Rais laZima serikali iingilie
Kusema football hsingiliwi na Serikali ni story tu
Kwa kweli kama hali ni hii,ni bora kurudi kushabikia timu za ulaya tu.
Silipii tena kifurushi cha Azam nabaki na DSTV.
Upuuzi mtupu unafanyika
 
HuuK

Kwa kweli kama hali ni hii,ni bora kurudi kushabikia timu za ulaya tu.
Silipii tena kifurushi cha Azam nabaki na DSTV.
Upuuzi mtupu unafanyika
Huu ulikuwa mgogoro hewa wala hapakuwa na mgogoro ilikuwa kutengeneza matukio watu wapumbaZwe tu.
Watu hawana muda na bajeti ya serikali ambayo imeongeza tozo kwenye petroleum na dizel hii itaongeza nauli na mfumko wa bei
 
Tusubiri rungu la FIFA, dikteta amelewa madaraka na hajui tena mipaka ya madaraka yake. Amewakutanisha Wapemba na wana ccm wenzake kujadili hatima ya derby ya kariakoo
 
Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu.

Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili.

Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo.

Nchi inatakiwa kupambana na mambo mazito sio ujinga wa mijitu imeshiba mihogo na supu
 
Punguza Makasiliko, Hii vita Yanga wamepigana kwa strategy ya hali ya juu sana.
Kwanza wali mmbana bodi ya ligi asifurukute, walipo hakikisha hafurukuti aka anzishiwa zengwe mtoa maamuzi Tff.

Baada ya Tff kuona moto umemshinda kakimbilia BMT/Wizarani kwa Mwana FA ,Maana mzee Kabudi yeye Tangu alipo gundua boss wake mkuu wa Mawaziri kahusika kutoboa mtumbwi alishajitoa kwenye usuluhishi, Maana ripoti ya Uchunguzi ili muanika Boss wake.

Mzee Kabudi baada ya kuona lisimuangukie Jumba bovu, Kaamua kumweleza Mama kilakitu.

Mama baada ya kuona Mambo yamesha haribika na kelele za wapiga kura zimeshakua nyingi aka amua atumie kofia yake ya Amiri Jeshi mkuu.
Kilichofuata ni kuitwa maboss wenye ushawishi mkubwa wa hizi timu na kutoa maelekezo.
Yule Boss anaye ishi Dubai alikua mbali maana wito ni wa ghafla aka agizwa atume wawakilishi wenye sauti waje wapokee maelekezo ya Amiri Jeshi na kuyatekeleza.

Tff/ bodi ya ligi lakwao nafikiri lina chemka, linasubiriwa ili la Derby lipite mwisho wa msimu utekelezaji wa maelekezo ya Amiri Jeshi juu ya tabia zao za hovyo waanze kuwajibishana.
 
Ligi ya mama, team za mama, kombe la mama, goli la mama hivyo subirini berby la mama.
Hadi amalize utawala wake anataka ahakikishe CAF wanaifungia nchi isishiriki michezo Africa...kwa yeye kuingilia michezo Hadi kuwapangia lini wacheze na lini wasicheze
 
FIFA wangepitisha fagio kama lile la Israel kwa Iran..akili ingekaa sawa kote huku
 
Tff/ bodi ya ligi lakwao nafikiri lina chemka, linasubiriwa ili la Derby lipite mwisho wa msimu utekelezaji wa maelekezo ya Amiri Jeshi juu ya tabia zao za hovyo waanze kuwajibishana.
Nitafuatilia mpira tena endapo hili litatimia. Vinginevyo mpira basi na silipii tena king'amuzi cha Azam media.
Ila kiongozi mkuu anasababisha kudumaa kwa soka kwa kuingilia kati na kuwaokoa wavurugaji wa taratibu.

Usajili wa Feisal wa ovyo. Prince Dube akaiga.
Derby kuhairisha ovyo ameingilia kati kufunika aibu.

Ajue na hili la Derby nalo kuna wehu wataiga watarudia wakijua mkuu ataingilia kati na kuwaokoa.
Kama kweli anataka soka letu liwe ajira na sehemu ya pato la taifa basi TFF na bodi ya ligi wawajibike/wajibishwe kwa tukio hili la March 8, 2025.
Pia kuhusu suala la finance pale TFF inatakiwa watu wafungwe kama wakati wa Rage na Ndolanga au Jamal Malinzi na Celestine Mwesigwa.
 
Back
Top Bottom