Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

Uchaguzi
 
Sio kwamba hizi timu zimejipa umuhimu wasiostahili, ni Rais kujidogosha isivyo stahili. Kulikuwa na sababu gani za msingi za suala hili kuingiliwa na Rais?
 
K

Kwa kweli kama hali ni hii,ni bora kurudi kushabikia timu za ulaya tu.
Silipii tena kifurushi cha Azam nabaki na DSTV.
Upuuzi mtupu unafanyika
Tatizo ni Azam media ndiye amesababisha ligi yetu ionekane na kuonekana ni ligi bora huko duniani ila duu marefa wetu ndiyo chenga yaani hamna kitu ni kama vile wanafanya mazoezi ya kujifuza kupuliza filimbi
 
Chanzo cha kura kwenye uchaguzi hakiwezi kupuuzwa na chama tawala.
 
Hadi amalize utawala wake anataka ahakikishe CAF wanaifungia nchi isishiriki michezo Africa...kwa yeye kuingilia michezo Hadi kuwapangia lini wacheze na lini wasicheze
Hahaha nadhani anataka haki na sikia kawaita Ikulu wamepooza wenyewe, na wameshaanza kujiuzurlu kuepusha ugomvi.
 
Hakuna mkakati wowote ukitumia dola kupitisha maamuzi yako ni nani atazuia dola?
Sisi mashabiki tusiopenda sinema ndio tumekata tamaa na soka la maigizo
 
Kwa akili hizo huwezi kuwa kiongozi wa nchi. Instakiwa kubaki madarakani na utulivu viwe vipaumbele vyako, haijalishi unatenda haki au la.
 
Simba na Yanga ni project ya CCM kuwapumbaza Watanganyika wasihoji jinsi nchi yao inavyoliwa na kikundi kidogo cha mafisadi. Hata kinachoitwa muafaka wa derby ya Dsm ni mkakati wa kupoozesha moto wa No Reforms No Election.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…