mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Kwa iyo unataka tuondoe neno mungu na tuseme neno gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema Serikali haina dini ni kutokujuwa maana ya neno "dini".
Hilo lililetwa na Nyerere, huku anahubiri serikali haina dini, huku anawajaza Wagalatia wenzake kila sehemu na kuwapa kipaumbele cha elimu.
Msome Sivalon anachambuwa hilo.
Unafik mtupu.
Mungu ni Mungu hapo hamna namna utaelezea kwanini? Sababu wenye Dini, wabudu mawe, wasiokuwa na dini wote anamalaka juu yao anaweza kufanya chochote juu yao hata Serekali.Serikali ya Tz haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Kusema Serikali haina dini ni kutokujuwa maana ya neno "dini".
Hilo lililetwa na Nyerere, huku anahubiri serikali haina dini, huku anawajaza Wagalatia wenzake kila sehemu na kuwapa kipaumbele cha elimu.
Msome Sivalon anachambuwa hilo.
Unafik mtupu.
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

Wimbo wa taifa una mahadhi ya kigalatia inabidi ubadilishwe

Kwahiyo kutaja Mungu, bila kumjua huyo Mungu ni sahihi?Serikali kutokua na dini,maana yake ni kutoegemea katika msimamo wa dini,moja,kama,yalivyo madola kama ya Iran.
Wewe FaizaFoxy ni Mwongo sana.
Kwa nini mtu mzima unadanganya watoto humu na kujenga chuki isiyokuwa na ulazima? Wewe unazo tu chuki binafsi kwa Nyerere; lakini pia inaonesha una fikra za kijahidina, zinazokosa kabisa objectivity. Natamani kukuita myopic; huijui vizuri hata hiyo dini yako.
Waislamu wa Enzi za Nyerere hawakupata elimu kwa sababu hii hapa: QUR AN TUKUFU; SURAT 3:10
Kasome hapo.
Hii sehemu ya Kitabu chako kitakatifu inamkataza Waislamu safi kufundishwa jambo lolote na Makafiri. Kwa hiyo Muislamu safi hawezi kwenda kusoma kwenye shule ya Misheni.
Waarabu hawakujenga shule za kutosha hapa Tanzania turithi. Wamisionari wa Kikristo walijenga shule nyingi tukarithi. QUR AN TUKUFU; SURAT 3:10 ilikuwa inakataza waislamu kusoma katika hizi shule za Makafiri. Hicho ndicho kilichowanyima Waislamu elimu. Kuna Wachache walidharau Qur an wakaenda kusoma kwenye hizi shule za Misheni. Hawa ndo tunaona walielimika.
Angalia Red hapo Juu. Ukome kujenga chuki katika jamii. Ukome kudanganya watoto wa nchi hii. Na ushindwe kabisa katika jitihada yako ya kuongopea watu. Nenda kasome QUR AN TUKUFU; SURAT 3:10 kama haikatazi Waislamu kusoma kwenye shule za Misheni!
Mshukuruni nyerere kwa kutaifisha shule za Misheni. Mungesoma wapi?
kama Wagalatia wenzake walikuwa wa elimu na vigezo kwann wasipewe nafasi! hao wengine ailiwanyanyua kwa kubinafsisha shule za dini ili kubalance, bila hivyo mpaka leo ingekuwa majanga! Nyerere kweli ni baba wa Taifa na aliona mbali!