Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani na Tanga ndio inaongoza kwa waislamu wengi... Je, maendeleo yao binafsi ya watu wa huko yakoje?? Je, wanaishi kwenye nyumba za tembe na udongo mpaka leo??
Dodoma,Rukwa,Ruvuma,Iringa,Njombe,Shinyanga,Geita,Same,Mara kuna maendeleo gani?
 
hoja ni kuwa waislamu wanakuwa sidelined katika ugawanyaji wa madaraka,na kisingizio cha kuwaziba mdomo ni kwamba eti serikali haina dini


Kweli kabisa

Na watu wa kwanza kumtazama JK kwa jicho la udini ni hawa


Pamoja na ukweli kwamba JK aliwateua sana hawa jamaa kwa wingi kuliko waislam lkn pale anapowateua waislam tuh utaskia wanaanza kupiga mapambio ya haleluyah kuwa JK mdin

Sasa hii hali ambayo magufuli hiv sasa anaifanya si ni udini uliovuka mipaka?

Kwann hawataki tuhoji?
 
Mziki gani usubiriwe wakati washachimbwa mkwara mwisho kutoka nje saa 2 usiku na wote washatii amri.

Bahati nzuri agizo limetolewa na mgalatia muislam analitekeleza dhidi ya waislam wenzie kulinda kitumbua chake kwa mgalatia.
Na ndio maana ikaitwa Pemba na kauli mbiu yao ni NGANGARI
 
Magufuli pambana vita na mafisadi

Vita na uislam na waislam hutaiweza
 
Usingozwe na dini.
Kama wewe umepiga shule haswa na ukaelimika hutahitaji kusema haya unayoyaongea otherwise elimu iwe ya kuunga unga, hakika utahitaji daraja la kukuvusha.

Ili kuondoa hizi kelele katiba ijayo impunguzie Rais madaraka na kuzikasimu kwa wananchi nafasi hizi za u-DC na RC watu wawachague kisha Rais awaapishe

Lakini kabla katiba haijarekebishwa nafasi ztolewe kwa professional
Nyie ndiyo wale mnaokesha vyuoni vya kufundisha ilimu akhera at the same time ukirudi mtaani unasema umetoka shule so unataka kazi.
Tofautisha Dini na Professional carrier
 

hahahahhaha...Sai kabisa ...sasa acha kulalamika kuwa eti oooh...sijui waislam hawateuliwi

Acha waimba kwaya watumbuliwe ...acha waimba kwaya wengine wateuliwe

Nyie nendeni mkajifunze madrasa
 
Jipu lililokamuliwa mashirika ya umma ni Dr Dau tu,kwingineko shwari tunaendelea na ile salamu yetu ya "Bwana yesu asifiwe" kabla kujadili mambo yetu.
 
siku walipoteuluwa prof assad na jaji athman chande.serikali ilikuwa ina udini.lakini leo 26 -6 imekuwa haina udini.kikwete alikuwa akichagua watu 10.waislam ni wanne wakristo ni sita lakini bado aliitwa mdini.
hhhaaa!!!tutafika tu.Huu ubaguzi.Ila ubaguzi una mwisho wake
 
Wanateuliwa wenye UWEZO na UADILIFU siyo dini fulani au kabila fulani au jinsia fulani. Mambo ya UDINI peleka msikitini, kanisani na Jamatin au kwenye matambiko. Rais wangu mpendwa endelea kuteua kwa vigezo vya UWEZO na UADILIFU. Usitishwe na maneno ya wakosa kazi wanaopokea teuzi zako kwa mtazamo wa kidini na kikabila.
 
Jipu lilikamuliwa mashirika ya umma ni Dr Dau tu,kwingineko shwari tunaendelea na ile salamu yetu ya "Bwana yesu asifiwe" kabla kujadili mambo yetu.
Jipu lilikamuliwa mashirika ya umma ni Dr Dau tu,kwingineko shwari tunaendelea na ile salamu yetu ya "Bwana yesu asifiwe" kabla kujadili mambo yetu.
ww leta dhihaka .Lakini huyo dau kaganyiwa uchunguzi kakutwa ni msafi.
 
nyi sihuwa mnalilia......sis hatuongei
mufurahi na kaniki zenu misikitini.......
Ni sisi au nyinyi ndio mnalia , nani alikuwa akilia jk mdini, nani aliyekuja na uzi wa nssf ....

Magufuli naye anataka kugeuza serikali kanisa sasa...

Haiwezekani wakuu wa mikoa wote waliosimamishwa wengi wa dini moja na kuingiZwa dini nyingine...

Teuzi zilizopita tulisupport tulijua hii ni serikali ya hapa kazi tu!!

Naona kila anapozidi kusimamisha na kuteua anasimamisha waislam anateua wakristo,,

Hata kama serikali haina dini hili lazima tuongee..

I hope hatopewa uenyekiti wa chama maana atafukuza wa dini moja na kuweka wake ...
 
Mkuu, kama uzi wa namna hiyo upo humu si ungeutoa kwa ajili ya reference? Maneno mengi yasikua na ushahidi sometimes hua inaonekanaga kama ni kelele. Weka ushaidi wa profesa Asad na malalamiko ya Wakristo kwamba hata humu yalikuwepo.
 
Ili ujue serikali haina dini ulitaka Magu ateuwe wapagani au aache kuteuwa kabisa?
Hebu toa maoni yako
 

Pumba tupu! hiyo amani ikowapi? kutwa viongozi wa upinzani ndo wanapelekwa polisi na kunyimwa dhamana inamaana viongozi wa ccm huwa hawakosei? MKIWABAGUA VIONGOZI KIVYAMA HASA WA UPINZANI MSICHUKIE PIA MKIBAGULIWA KI DINI
 
Haiwezekan..haapa ilipofikia haiwezekan

Nchi hii siyo mali ya kanisa

Hatuwez kuruhusu udini ushike hatamu huko serikalin haiwezekan


huwezi kuruhusu wewe kama nani??? hahahahaha

Toothless crocodile

Gesi Imetoka haijatoka? Boss usicheze na hii serikali.....Tutakutumbuaaa hadi ushangae
 
Magufuli pambana vita na mafisadi

Vita na uislam na waislam hutaiweza

Hii vita ina cut across kwa kila mtu...kila dini

Tukiamua tumeamua...Na ninyi mmeingiza serikali hasara sana....kwa mtindo wenu wa kubebana...Tutamsaidia Rais kwa nguvu zote....Read my words between the line
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…