Kwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!
Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali
mnajitia hisia...........
na bado axeeee mtawewesedka sana na kanisa,....
nchi hii bila wazkristo haiendi
Acha uongo na propaganda za kijinga hazisaidiiKuna mhubiri wa kiislamu (MJAHIDINA) wakati wa mkapa akiwa kwenye mhadhara alitukana sana asema WAISLAMU KAMA YEYE WENYE UWEZO hawapewi nafasi wanapewa watu wasio na uwezo tu kwa kuwa ni wakristo.Akatukana sana polisi wakamdaka wakampeleka kituoni.
Kufika kituoni kumbe mtu mwenyewe hajui kusoma wala kuandika !!
Polisi wakamwambia wewe ndio ulisema wamekuacha wewe wakati una sifa wakati hujui hata kusoma na kuandika? akaanza kucheka akasema niachieni nihurumieni mwenzenu nalipwa na naishi kwa kazi hii ya kupiga kelele majukwaani.Wakamwachia kwa kumhurumia
Kwa hiyo wewe unataka watu wateuliwe au kuajiliwa kwa misingi ya dini siyo!!?
Saa hizi ndo mda wa kufanyia renovation makanisa yetu,na kujenga mahospitali zaidi,nyinyi si bahati mliichezea,ngoja sasa wataalamu tufanye yetu......ha ha ha ha mbavu zangu jamani
Ni nani analalamika NSSF kuwa kumejaa udini, acha kujitoa ufahamu na kujifanya chizi... Tutasema tutasema tutasema na hatutachokaMimi sina dini mkuu, lakini nikiangalia huwa kuna dini moja hawapendi elimu alafu wanalialia kwanini hawapewi nafasi za serikali.
Watu kama hao wakiitawala nchi tutegemee nini?
Elimu
Elimu
Elimu
Bora we umekuwa muwazi kama Donald Trump, sema yote babaa yalifichika kwenye roho yako...sasa si wangeteuliwa...mkipewa nafasi kama dau mnageuza ofisi misikiti....hovyo kabisa
Na kuna yule CAG ajiandae kufunga virago
Sasa kama nchi hii siyo ya kanisa wala msikiti kwanin huko serikalin mjaze watoto wa maparoko tuuh kama kuna kipaimara au mnafungua dayosis?
Kazi kazi wanayofanya Wagalatia, Kuiba na ufisadi?hahahahhaa...wagalatia hawako hivyo
Wao ni kazi tu...mambo ya Vipedo ofisini no
Na kubong'oa ofisini hapana
Majuzi niliingia Tanesco makao makuu asubuhi nikakuta wanasali sala ya mama Maria, wakati wa kazi kuuliza nikaambiwa ndiyo utaratibu wetu huu ni ushirika wa Tanesco Parokia ya Ubungo nilibaki nashangaa tu.
Kali sana ioMajuzi niliingia Tanesco makao makuu asubuhi nikakuta wanasali sala ya mama Maria, wakati wa kazi kuuliza nikaambiwa ndiyo utaratibu wetu huu ni ushirika wa Tanesco Parokia ya Ubungo nilibaki nashangaa tu.
Hawa wote ni wana ushirika tunasali wote Kanisa la Mbezi na wengine wanasali Tegeta ni wana jumuiya hawana tatizo.TANAPA,TANESCO,PPF,NHC ni shwari hakuna shari
Hivi wakati ule JK alivyomteua Assad mbona watu walibweka udini humu, kwa nini hawakuangalia kwamba naye ni mtanzania na ana vigezo?.
Halafu Watu wenye ujuzi, uzalendo na vigezo wanapatikana katika dini zote, kwa nini kila teuzi Waislamu wawe wa kuokotezaokoteza?.
Sidhani kuwa hii ni bahati mbaya, bali ni mfumo unaojengwa au uliojengwa kiudiniudini!
Teh teh teh!!Moshi, Arusha, Mwanza, Mbeya kuna maendeleo makubwa sana... Iringa, Same unafananisha na Lindi au Pwani??